Mwanamke ndani ya mtandao ni tapeli wa mapenzi

Mwanamke ndani ya mtandao ni tapeli wa mapenzi

ukweli ndo huu na najua why mnakata maana sex pays than blah blah you know what i mean
 
Mkuu, naomba ufafanuzi kidogo, nilipita kidogo kwenye ka-kozi ka marketing bhana sasa nilivyoona hapa nikafurahi kweli!

Hivi unaposema 'market' unamaanisha nini? si ni buyer and seller? halafu lazima kuwe na 'something to exchange'?

Halafu pia kwenye market lazima the two sides, kuwe na 'special agreement to buy the product'? si ndiyo?

Back to topic...

Sasa najaribu kufananisha na hii thread ambayo ina the so called ' one way marketing' kitu ambacho si rahisi kuwepo..!

yani kuwe na 'muuzaji' tu bila mnunuaji? inawezekana kweli?

Hebu jaribu kuvuta picha ninachozungumzia...

hahahahahahaha baelezeee
 
tehe tehe tehe tehe JF inanipa raha......so wewe ulikuwa unatafuta LOVE TRUE RELATIONSHIP humu JF lakini matokeo yake ukakutana na NO LOVE TRUE RELATIONSHIP,haya maandishi in red nimeyapenda
 
wengi wapo kimaslahi na wengi wanatafuta rootescape ya success
mbona kwenye jukwaa la nafasi za kazi na tenda naona idadi kubwa ya wanaotafuta kazi ni wanaume?au unazungumzia nini hapa?
 
tehe tehe tehe tehe JF inanipa raha......so wewe ulikuwa unatafuta LOVE TRUE RELATIONSHIP humu JF lakini matokeo yake ukakutana na NO LOVE TRUE RELATIONSHIP,haya maandishi in red nimeyapenda

your mind needs a serious capsule
 
why don't u include the customers then. 50 50

the customers are just the targets for the profit but not the deal,they need money not the customer,the customer is just a path to where money is
 
Most of the girls,ladies,woman are not really dealing with love true relationship but lovegumblers,aftermoney and business aids

inshort wengi humu ni wako kwa ajili ya biashara na kutafuta wapi kwa kutokea.

nanukuu "love is a game if you don't play u wll never win" - single ladies series.
 
siku nyingine uache ushamba mtandaoni hakuna mapenzi...... utaliwa tigo shaulilo.....(pengine tayari ishaliwa)
pole lakini ndo ushajifunza.

Yesu na Maria na Yosefu.

Mtakatifu Yuda Tadei.............Utuombee!!!
 
Humu inategemea sasa wewe uende kabisa kumtokea demu much know, hashindwi na Jambo, dem ye kutwa nzima umbea hana hata vision ya maisha unategemea nini?
Wapo wengine wanajielewa balaa hadi unatamani uje kumuona siku moja. Na hii inatokana na comments zao!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom