Mwanamke ndani ya mtandao ni tapeli wa mapenzi

Mwanamke ndani ya mtandao ni tapeli wa mapenzi

Humu inategemea sasa wewe uende kabisa kumtokea demu much know, hashindwi na Jambo, dem ye kutwa nzima umbea hana hata vision ya maisha unategemea nini?
Wapo wengine wanajielewa balaa hadi unatamani uje kumuona siku moja. Na hii inatokana na comments zao!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

3%..........
 
Back
Top Bottom