miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
maybe........
tafuta hela mkuu...pesa ni tamu
maybe........
mimi nipo kimaslahi mapenzi jf amna aisee
ndiyo natumia akili kupata watu humu wanipe sihitaji mafanikio ya haraka sana nataka niinde pole pole utamu wa pesa uitafute kihaklali ikutoe jasho ndiyo utaona utamu wake,.... hela yangu mwenyewe huwa naipenda sana naenjoy kuitumia ya kupewa ni kudhalilishana
We kweli miss chaga..
mawazo mazuri miss, swali la nyongeza; unatumiaje watu wakupatie njia halali za kupata pesa bila wao kunufaika? Au mna share katika hicho unachopata? Kumbuka ni wachache sana duniani wanaweza kukusaidia bila malipo yoyote!!
does not mean nauza papuchi hapana... nafanya biashara humu ya mambo mengi tu
..kwa hiyo hii biashara inawezekana humu jf??
huwa tunashare nakupa ujuzi unanipa pesa..... nakupa product unanipa pesa...... that is how nafanya na si kuchukua hela ya mtu ambayo sijaifanyia kaz hapana kwa kweli,,, pesa ya hivyo siyo tamu
kama causitic soda na n.k
Most of the girls,ladies,woman are not really dealing with love true relationship but lovegumblers,aftermoney and business aids
inshort wengi humu ni wako kwa ajili ya biashara na kutafuta wapi kwa kutokea.
owkey, sasa nimeluelewa,...juhudi binafsi pamoja na kuongea vizuri na watu. Lakini usipinge Sana kuwa mapenzi jf ni zero. Wengine tumenufaika angalau na hayo mapenzi ya jf, japo kiuchumi hatujanufaika na jf.
Sawa mkuu ila hata mimi nimepata mawazo mengi sana jf kuhusu mapenzi am happy and proud.... mapenzi ni nzuri ila si kupewa kipaumbele
JF ni sehemu pekee katika mitandao unaweza kujua tabia ya mwanamke. Wanasema mwanamke ni tabia. Si sura maana hata mbuzi anayo. Si shape maana hata sanamu la michellin lina shape.
Humu JF wanawake kama wanaume wanajieleza. You can read btn the lines ukapata picha ni mtu wa aina gani. Hata posts ambazo mara nyingi wanatia kautani zaidi utaelewa tu. Ukiamfuatilia mmoja kwa makini ni rahisi kujua wapi yupo serious na wapi anachangamsha genge.
Wanaotafuta pa kutokea humu sijawaona to be honest. Wanaweza kuwepo lakini sio majority.
naongelea biashara ya pande moja dont force to balance 5 and 6
mwanzo mzuri miss, hakika utakuja kunufaika na mapenzi ya jf, achilia mbali mawazo ya watu..kupata kidume humu...kila laheri na kuzisaka noti..!!
Jamani siooo wooote, akyanani mi sipo hivyoo kbisaaa njoo uonee.