Mwanamke ndani ya mtandao ni tapeli wa mapenzi

Mwanamke ndani ya mtandao ni tapeli wa mapenzi

Eti sehemu ya kutokea!
Huko koote pasiwe na mlango wa kutokea uwepo hapa?
Mfyuuuuuu!!!
 
..labda swali dogo tu; wanatafuta kutoka kivipi? Kimapenzi au kimaissha(financially)?

Kwa dhana ya mleta maada ni kimaisha. Ndio hilo nakataa. Kimapenzi, it might be possible but quite difficult. Watu hawajuani I would assume
 
You if you are talking of a very particular mwanamke, then, I may agree with you. But putting it general terms by using the word "most" is simply incorrect!

its really is if you mind hacking the PMs
 
Kwa dhana ya mleta maada ni kimaisha. Ndio hilo nakataa. Kimapenzi, it might be possible but quite difficult. Watu hawajuani I would assume

mapenz yapo ndani ya maisha,they dont do what you think they are doing
 
sasa ukisikia great thinker ndo kama wewe sasa.......
Mkuu, naomba ufafanuzi kidogo, nilipita kidogo kwenye ka-kozi ka marketing bhana sasa nilivyoona hapa nikafurahi kweli!

Hivi unaposema 'market' unamaanisha nini? si ni buyer and seller? halafu lazima kuwe na 'something to exchange'?

Halafu pia kwenye market lazima the two sides, kuwe na 'special agreement to buy the product'? si ndiyo?

Back to topic...

Sasa najaribu kufananisha na hii thread ambayo ina the so called ' one way marketing' kitu ambacho si rahisi kuwepo..!

yani kuwe na 'muuzaji' tu bila mnunuaji? inawezekana kweli?

Hebu jaribu kuvuta picha ninachozungumzia...
 
sasa ukisikia great thinker ndo kama wewe sasa.......

mjinga mdogo akimwona mjinga mkubwa kaandika ujinga mzuri atasema,huyu kweli alikuwa ni thinker,afteral you are one of them
 
mjinga mdogo akimwona mjinga mkubwa kaandika ujinga mzuri atasema,huyu kweli alikuwa ni thinker,afteral you are one of them

kwendraaaaa huko na mastress yako ya kutendwa mtandaoni .......mfyuuuuuu!!!!
 
kamuulize aliyekukuingiza mjini huko...siku nyingine usiingie kichwa kichwa utakombwa hadi likifanyio....kazi kulia lia tu kwani uliporwa?
mikosi ni nini?
mikosi imeingia vipi hapa?
nikuambie kitu nijibu hili
mapenz ni nini?
 
kamuulize aliyekukuingiza mjini huko...siku nyingine usiingie kichwa kichwa utakombwa hadi likifanyio....kazi kulia lia tu kwani uliporwa?

mimi ndo nayaona na kuyaanika ila demu wangu he he pole sana ni kiumbe ambaye hakariri maisha😛
 
usitokwe na povu najua ukweli unauma

siku nyingine uache ushamba mtandaoni hakuna mapenzi...... utaliwa tigo shaulilo.....(pengine tayari ishaliwa)
pole lakini ndo ushajifunza.
 
Back
Top Bottom