miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
kiukweli sijaona kama jf kuna sehemu ya kutoke hasa katika sekta ya mapenzi ... though naamini wapo wanume humu wanaojielewa sana..........
alafu naomba unipe maana ya kupenda?
je mazingira yapi yanaruhusu mtu kumpenda mwenzio?
does money party of love? if no why? please explain in details to convince me and other?
cc:Kizimbuzi
alafu naomba unipe maana ya kupenda?
je mazingira yapi yanaruhusu mtu kumpenda mwenzio?
does money party of love? if no why? please explain in details to convince me and other?
cc:Kizimbuzi