Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Uione mara ngapi wewe? Au na wewe ndiyo walewale mliohamia kwenye magadi baada ya CaroLight kudunda
hebu tuwekee wengine via mobile. Kama unalipa tukusifie kama hulipi tukuponde.
Uione mara ngapi wewe? Au na wewe ndiyo walewale mliohamia kwenye magadi baada ya CaroLight kudunda
dahh!! umenikuna!! sikua nimeiona hii post!!!! safiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu Uzuri wa Mwanamke ni Tabia sio picha Changamka na wewe uone moto wake.mabachelor changamkieni dili hilo
Wewe una maneno mengi kama umemmeza Mbwiga wa Mbwiguke. Weka sura yako watu washindanishe Miss JF.
Hahaha swahiba angalia hiyo yangu basi afu ucomment..Natunza comment yangu hadi niione hiyo avatar.
ila umechoka una hata kilo 20 kweli?
umetaja dadii umenikumbusha mbali sana... halafu ya motoooo asubuhi asubuhi but haiharibu mabegacheki mabega hanywi dadii kweli huyu? au wanzuki?
wazuri hata wasiposifiwa watu watawasifia!!!wabaya hata wakisifiwa moyoni wanajijua ni wabaya!....wewe upo kundi gani?na kusifiwa mzuri siyo na wazazi wako au mpenzi wako?usipanic ni mtazamo tu!we ni wale wale hivi unaweza kujisifu mimi nina sura nzuri?
Eti Radhia, kwani hiyo avatar ya Lizzy sio sura yake yeye mwenyewe jinsi alivyo?
Eti Radhia, kwani hiyo avatar ya Lizzy sio sura yake yeye mwenyewe jinsi alivyo?
uzito unahusu sana.nilijua tu inakuhuuu unalo bibi? mwepesi kama kuku mwenye kideriBack to topic. Thread haihusu UZITO inahusu UREMBO! Upo?
hii yenyewe ya kwako hata kupost humu leo shida kweli server inashake balaaa kirusi kitupu toa bwanaana jeuri hiyo ya kuweka sura yake halisi. Akitumia sura yake halisi basi server ya JF itashindwa kufanya kazi siku hiyo.
mashine je?
dahh!! umenikuna!! sikua nimeiona hii post!!!! safiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!