Mwanamke na kufika kileleni

Good question, but kuna zaidi ya G spot au vipi....kale kajamaa kana umuhimu wake aiseee
Kama anavyouliza Sherrif, kama hako kajamaa kamenyofolewa ama kukatwa na hakapo basi hilo likakuwa kama kuwasha moto na kuni mbichi tena zilizolowa maji
 


Unasema 6/6 haina mfumo dume... Sorry sijaelewa kama wewe Ke/Me
ningeuliza kwa kukulenga BUT Zingatia haya...

Nani anamaamuzi makubwa ya sehemu ya kufanyia Sex?
Nani anachukua nafasi kubwa kuamua kuvaa Condom?
Nani ambae akifanya Sex ni lazima afike kileleni?
Ni nani yupo huru zaidi kuenda extrems... Yani nani anasuggest?

Kuhusu kuandaliwa... wanawake tumepishana... kuna me unaenda nae sambamba
mwingine unamuandaaa mpaka wewe mwanaume hamu inaisha... hutaki tena
na kuishiwa kupitiwa usingizi... Na ni vigumu saaana kuweza mwanaume kujua
mwenza wako kafika kwasababu katika hilo tendo wanawake we are GREAT Actresses...
 
incompatibility
haimfanyi mmoja kuitwa mdhaifu
....
ukiwa unavaa kiatu no 9 huwezi sema viatu no 8 au no 10 sio viatu
ni viatu sema wewe havi fit


Nakubaliana nawee... Na nimejibu hilo post # 13

 
Unajua sex ni ushirikiano kwani jukumu likiwa la mmoja siku zote starehe itabaki kuwa ya mwanaume2 habari ndio hiyo
 
Unajua sex ni ushirikiano kwani jukumu likiwa la mmoja siku zote starehe itabaki kuwa ya mwanaume2 habari ndio hiyo


Jamani Chavka soma post zangu zoooote kwenye huu uzi... inajibu na kukubaliana na hio...
 

Hapo ndo penye shida. Wanawake wengi wanakuwa too secretive, hawapendi kuwa wazi kueleza ni vipi wafanywe ili nao wafaidi. Wanafanya assumption tu kwamba all men know everything about women. Na wengi ukimuuliza sana sana utapewa majibu rahisi rahisi km; "kwani wewe hujui?", au "wewe fanya tu". Kisa cha yote hayo ni kwa sababu wanaogopa kuitwa malaya.
Ladies, msiachie wanaume kufanya assumption juu ya miili yenu. Mwili wako ni wako, mwili wako ni tofauti na wa Lizzy, Husninyo, AshaDii nk. Physiological composition ni tofauti kabisa. Anavyonogewa Neggirl ni tofauti kabisa na anavyonogewa Shosti au mwanamke mwingine. Mnapaswa kuwa na ujasiri wa kusema nini mnataka, sehemu gani za nje zishughulikiwe kwanza kabla ya kuruhusu jamaa kuingia vyumbani, na huko ndani ni vyumba gani viguswe, nk. Kwa ujumla, muwe wawazi.
 
Bi Faiza, Shukran kwa kitabu. Nitakisoma.
Lakini hicho ni kitabu na maoni ni ya mwandishi. Mie nataka kusikia maoni yako juu ya habari hii nyeti. Hebu tuhabarishe na japo dondoo

Badili ya kutoa maoni yangu ambayo yanafanana sana na yalioandikwa kwenye hicho kitabu, naona ni bora mkisome hicho kitabu, tena huko utapata details ambazo ni vigumu kuzichangia hapa, ban nje nje.
 

...duuhhh, taratibuni mnachochangia hapa wengine tunakula! yukkkkk!
 

...mimi bado mwanafunzi hapa, mara tatu siku ya kwanza, au siku tofauti, ..maana mnh?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…