speedcom
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 320
- 179
Mi naona hana jinsia huyu! Si umeonaeee?
Siku hizi hawatafutwi wamejaa, wote wanaojibadilisha rangi za asili za miili yao side effect ni kuota ndevu. Wengine unaowaona nazo wazi wazi ni wavivu tu kunyoa. Kila punguani aliyejikoroga ana ndevu. Chunguza.
Hey habari waheshimiwa.
Kichwa cha habari cha jieleza,nmekua nikivutiwa saana na wanawake wenye vijindevu vilaini laini usoni.kama yupo ajitokeze ningependa hapo badae tuwe mke na mme.naomba kusisitiza awe na ndevu laini sio ngumu kma hizi za kwangu..asanteni.
Hata mie nlitaka kumwambia hivo hivoo yule mdada wa polisi tena ana kale ka-O kabisa yani ni full mzukaMtafute yule msemaji
wa geshi lya polish pale poshta mpya, mi nimimsahau jina lake. Nenda
umejiandaa kabisa afu ukitoka uje hapa utusimulie
yatakayokukuta.