mwanamke mwenye ndevu anatafutwa.

mwanamke mwenye ndevu anatafutwa.

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Hey habari waheshimiwa.
Kichwa cha habari cha jieleza,nmekua nikivutiwa saana na wanawake wenye vijindevu vilaini laini usoni.kama yupo ajitokeze ningependa hapo badae tuwe mke na mme.naomba kusisitiza awe na ndevu laini sio ngumu kma hizi za kwangu..asanteni.
 
Hizi dalili siyo za kawaida kabisaa, kuna jamaa mmoja alikuwa anapenda wanawake wenye sauti nzito eti akiwa kwenye mgegedo anaona raha sana, leo hii si rizki!
 
Yuko mmoja namfahamu, tena sio ana vijindevu tu, bali na sharafa anazo ila hii dili ina utata; sijui kama atakuwa na uthubutu!
 
Mi nna ndevu na Mustach, pia nina nywele za kifua sijui ndo mnaita garden love.... huwez kunifikiria mkuu?
 
njoo pm....pia kifuani ninazo...ila nyetini sina
 
Mi nna ndevu na Mustach, pia nina nywele za kifua sijui ndo mnaita garden love.... huwez kunifikiria mkuu?

queen2.jpg
queen.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom