Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,111
18,327
Kwa walio oa na wasio oa naomba leo iweni wawazi, japo mtatoboa siri za wenzi wenu mnao wapenda, najua watatuwia radhi kwani nahitaji kujua. Kuna tofauti ati kati ya hawa wawili, wengine eti sijui wembammba wanahasira kuliko wanene, no proof.

Kuna mengi ambayo yanasemwa mitaani, lakini najua wewe msomaji unajua .

Naomba mseme ukweli kuna raha gani kati ya hawa wawili kwenye ndoa??

Tafadhali naomba nidhamu ama sivyo nitachagua kiranja.





Soma pia:

1) Kama unapenda mwanamke mwembamba usinicheke ninayependa mwanamke mnene - JamiiForums

2) Sifa za wanawake/wadada wanene - JamiiForums

3) Sifa za wanawake wembamba - JamiiForums

4) Tofauti 10 kati ya wanawake wanene na vimbaumbau hizi hapa - JamiiForums

5) Tofauti kati ya mwanaume mwembamba na mnene katika mapenzi - JamiiForums
 
Mie napenda kuongozana na majimama yaliyoshiba na hiha!

Jimama liloshiba kuongozana nalo ni raha - asikudanganye mtu. Vimbaumbau vinapaswa kutunzwa tu majumbani. Mtoa mada Jaribu siku moja kulichukua mke aloshiba lakini awe na figure ya kike, usije chukua asiyekuwa na mipaka, kichwa, shingo, tumbo kiuno vimerundana - hakuna atakayekuangalia.
 


dah, hii sasa ni kashfa kama sio matusi lol........
 


lol.... you made my day...
 
Mm wembamba sio kabisa kwangu,....yaani hapa namaanisha pamoja na hao wanaoitwa mamiss kitu chochote hapa duniani,.........mama afrika
 

hii figure ndiyo namba ngapi vile? huyu wa hivi ndo bomba hata kumweka ndani, no pressure nor diabetic ni wewe na yeye tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…