Tofauti ya mwanamke mwenye akili na Mwanamke msomi

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,767
Kuna tofauti kubwa Sana kati ya kuwa na akili nakuwa msomi katika Zama hizi kumekuwa na ongezeko kubwa la wanawake wasomi kwa kiasi kubwa na ni janga kubwa kwa generations ya sasa haswa kwenye taasisi ya NDOA wanawake wasomi ni kama janga la kitaifa kwa sasa najua hapa ni ngumu kunielewa

Leo naomba tuwaongelee kidogo wanawake wasomi na wenye akili

WENYE AKILI, Hawa ni wachache Sana kwa kazazi cha sana ni bahat Sana kumkuta mwanamke mwenye akili wengi ni wasomi Sana na akili hawana wanaishi maisha ya wenzetu as usual ñdo wanaona ni sawa tumeshapoteza tamaduni as a africa tunacoppy maisha ya wenzetu kuanzia Life style na muonekano .kuongezeka kwa feminist ni janga . Mwanamke mwenye akili ni yule anajitambua katika jamii añajua nafasi yake kama mwanamke mvumilivu mwenye hekima na busara mfano halisi mwanamke mwenye akili huwez mkuta saloon anaoshwa kucha sijui kupaka rangi kucha bandia make-up mawigi

WASOMI, hawa ndio wametapakaa duniani kote Hawa ndio kutwa kushinda instagram, snapchat , yupo active social media kushinda saloon anaoshwa kucha,nywele kufanyiwa massagi kwenye masaloon wapenda usawa kwa kila Jambo hawa ndio wanataka hata kama mpo wawili lazma awepo house girl kula migahawani ngumu kucare family globalization hawa ni ngumu kudumu katika ndoa

Nakushauri oa mwanamke mwenye akili Huyu utadumu nae lkn Hawa WASOMI watawasumbua mm kuona mwanamke anashinda saloon sijui kubandika kucha sijui nn opless
 
Snap chat generation
Kizazi kinachotaka haki sawa,wajeuri,viburi wabishi wanaothamini zaidi pesa kuliko utu
Ndio maana kuna wimbi kubwa la vijana wa kiume wanaojiua,kutokana na kuwepo kwa vichwa maji hawa
 
Inabidi tutofautishe kati ya akili, kwenda shule na kuelemika. Si wote wenye akili wamebahatika kwenda shule. Kwa sababu mbalimbali kuna wenye akili wengi hawakumaliza hata darasa la saba, wengine wameishia form 4 na wengine wameishia form 6. Na kuna wasio na akili ambao wamefanikiwa kufika hadi chuo kikukuu.

Usomi hapa kwetu una tafasiriwa kama kufika ngazi ya chuo. Kuna wenye certificate lakini wamepata michongo wana kazi nzuri nao wanaitwa wasomi.

**** ma cashier maofisini wana Itwa wahasibu na kuna ma assistant medical officer wanaitwa madaktari. Hawa wote wanaingizwa kwenye kundi la wasomi.

Lakini pia kuna waliofika vyuo vikuu lakini hawajaelimika ingawa wa degree.

Kwa ufupi ni kwamba kuna tifauti kati ya kuwa na akili na kusoma...elimu ya ngazi yoyote ile.

Akili ni uwezo wa mtu kufikiri, kubuni na ku master mazingira yake kwa kuwa na uwezo wa kutatua changamoto anazo kabiliana nazo. Pamoja na akili binadamu tuna hulka, mitazamo na tabia.

Kwa mfano mtu mwenye akili na asiye na akili wote wanaweza kuwa malaya...lakini mwenye akili atafanya umalaya wake pasipo kugundulika, kuonyesha wala kuathiri maisha yake mengine. Asiye na akili atafanya umalaya bila kujali na hatimaye kuathiri au kuwakwaza wengine.
Sasa mara nyingi tunatafasiri akili kwa kuangalia level ya elimu mtu aliyofikia. Kitu ambacho si sahihi.
Akili zipo za aina nyingi na mwisho wa siku ndo zina mtengeneza mtu. Kuwa mchezaji mzuri unahitaji akili, lakini si lazima mchezaji mzuri akaweza kufanya hesabu. Na anayejua hesabu anaweza kushindwa kucheza mpira. Hapa ndo.likuja swala la vipaji au karama.

Mungu ametuumba tuwe na vipaji, karama, utashi na tabia tofauti ili tuweze kuishi pamoja. Mwenye kipaji cha mpira, anahitaji kusikiliza mziki mzuri kutoka kwa mwenye kipaji cha kuimba etc.

Mwisho wa siku wote tunategemeana na tunatakiwa kuishi wa kuvumiliana.
 
Ukwel mtupu
 
Mwisho wa siku wote tunategemeana na tunatakiwa kuishi wa kuvumiliana
 
Back
Top Bottom