Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

tatzo la watanzania tunaongoza kwa kushangaa hata visivyo shangalika na ndo hapo kunapotokea tatzo la kijinga
 
Mmmmmh! inawezekana huyo mrembo hakuwa binadamu wa kawaida..................napenda nimuone
 
Bujibuji, naona ulipata lunch kabla ya muda, na ukaongezea kiroba (@ 12:26), na ulikuwa Breakpoint opp. na Bills.
Umepita mitaa hiyo ijumaa jioni ya saa moja?
 
Mswalie.....!
Maneno gani tena hayo? Hujui ukizungumzia soko unaondoa kabisa taste ya sifa za muonekano? Anyway kama ukiwa na sura na umbile zuri utatafutwa sana kama ukiamua kuwa available. Ukijiheshimu magari yatagongana kama alivyosimulia mtoa mada lakini haimaanishi utakuwa na wateja wengi.
Du! Kumbe tunasoko
 
Nachojua kwa uhakika ni wanawake wembamba warefu wana kum. ndefuu, yaani wana mashimo marefuu, so mwanaume anashindilia tu to base of mtarimbo, pia awe amejazia kati atavutia sana, huwa wanatingishika makalio weeee...which is appetizer ya sex
 
Nachojua kwa uhakika ni wanawake wembamba warefu wana kum. ndefuu, yaani wana mashimo marefuu, so mwanaume anashindilia tu to base of mtarimbo, pia awe amejazia kati atavutia sana, huwa wanatingishika makalio weeee...which is appetizer ya sex
DuhhhhhNO comments ..
 
Raha sana kuongozana nao mtaani.
Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau kabisa wajibu wao.
Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari mawili yamegongana kisa, madereva wote wawili walikuwa wanamshangaa mrembo.

Inanoga zaidi kama wewe mwenyewe sio "ki-emolo"
 
Raha sana kuongozana nao mtaani.Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau kabisa wajibu wao.Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari mawili yamegongana kisa, madereva wote wawili walikuwa wanamshangaa mrembo.
Napenda sana madem wa taipu hiyo mkuu! Mademu wembamba walefu wanamvuto sana!
 
Mie napenda kuongozana na majimama yaliyoshiba na yamejazia hiha!
Mi hata sitaki kuyasikia, majimama yenye matakoo makubwa mara nyingi mengi yao huwa mapumbafu, akili ndogo! Prestige yao hua ni ****** yao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom