Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Raha sana kuongozana nao mtaani.
Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau kabisa wajibu wao.
Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari mawili yamegongana kisa, madereva wote wawili walikuwa wanamshangaa mrembo.

Mie nilikuwa nataka kuingia kona hii ya kushoto huyo jamaa mwingine ndo alikuwa anashangaa demu hakuniona! Mie siwafagilii wa type hiyo:cool2:
 
Raha sana kuongozana nao mtaani.
Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau kabisa wajibu wao.
Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari mawili yamegongana kisa, madereva wote wawili walikuwa wanamshangaa mrembo.

Ongozana siku moja na aliye fungasha wowowo likafungashika uone manjonjo mtaani
 
wanawake wembamba wavutia lkn co wote kuna baadhi yao pia wanachukiza kwan utkuta mtu mwembamba mpaka unaogopa kumuangalia mara mbili
 
Raha sana kuongozana nao mtaani.
Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau kabisa wajibu wao.
Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari mawili yamegongana kisa, madereva wote wawili walikuwa wanamshangaa mrembo.
Nabisha!
Maumbo yakuwachanganya wakaka wa mitaani sio hayo
 
Si unajua wembamba hawana mvuto sasa akipata mwanaume nae ndo hapo hapo anang'ang'ania na kubambika mimba

Hawana mvuto afu bdo wanapata wanaume?? Inakujaje hapa?? Umewahi kung'ang'aniwa nini?? Mimba haibambikwi bana km ulivutiwa mpaka ukala kavu2 ujue mimba ni yako...lol..
 
Raha sana kuongozana nao mtaani.
Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau kabisa wajibu wao.
Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari mawili yamegongana kisa, madereva wote wawili walikuwa wanamshangaa mrembo.
Nina wasiwasi kuwa jamaa huyu lunch yake ilisindikizwa na kinywaji jamii ya konyagi-pori, maana maluweluwe yake huwafaghiribu akili kiasi cha kuona kila kitu mbele yake ni kizuri. Jamani uzuri wa mtu unategemeana na mwenye jicho husika...wakati wewe ni wenye umbo la sindano...wengine majimama yaliyosheheni nyama-ujinga ndio hasa!....
 
Raha sana kuongozana nao mtaani.
Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau kabisa wajibu wao.
Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari mawili yamegongana kisa, madereva wote wawili walikuwa wanamshangaa mrembo.
pia huwa wanakuwa na uke mrefu
 
Hawana mvuto afu bdo wanapata wanaume?? Inakujaje hapa?? Umewahi kung'ang'aniwa nini?? Mimba haibambikwi bana km ulivutiwa mpaka ukala kavu2 ujue mimba ni yako...lol..

Wanapata kwa kukata kiu tu
Hapo ndo inavyo kuwa
Mimba haibambikwi?
Mwanamke habambikiwi ujauzito
Kama mnachangia wengi ndo shuhuri hapo
Inafika kipindi mwanamke hajui mwenye mimba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom