Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwembamba anaweza nenepa
Mnene anaweza pungua.
Swali ni je akinenepa au kupungua utaacha kumpenda?
 
Aisee navutiwa na wanawake wembamba aina kama ya Michelle Obama.


Update:
Natafutwa na CIA nakimbia ila sijui naenda wapi, alafu nimesikie sauti ya drone imepita sasa hivi nahisi ni kwa ajiri yangu, nafwaa🤪🤪🤪.
 
Kwa walio oa na wasio oa naomba leo iweni wawazi, japo mtatoboa siri za wenzi wenu mnao wapenda, najua watatuwia radhi kwani nahitaji kujua. Kuna tofauti ati kati ya hawa wawili, wengine eti sijui wembammba wanahasira kuliko wanene, no proof.

Kuna mengi ambayo yanasemwa mitaani, lakini najua wewe msomaji unajua .

Naomba mseme ukweli kuna raha gani kati ya hawa wawili kwenye ndoa??

Tafadhali naomba nidhamu ama sivyo nitachagua kiranja.



Soma pia:

1) Kama unapenda mwanamke mwembamba usinicheke ninayependa mwanamke mnene - JamiiForums

2) Sifa za wanawake/wadada wanene - JamiiForums

3) Sifa za wanawake wembamba - JamiiForums

4) Tofauti 10 kati ya wanawake wanene na vimbaumbau hizi hapa - JamiiForums

5) Tofauti kati ya mwanaume mwembamba na mnene katika mapenzi - JamiiForums
Wote wanafaa kila mtu na chaguo lake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom