Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,455
- 6,465
Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe.
Kulingana na taarifa ni kwamba mama huyo alifua boxer za mmewe na kuzianika ila baadae alipoenda kuziondoa alimpata Jirani yake ameanika chupi zake karibu na boxer hizo.