Polisi ben
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 303
- 83
Ukimwona mwanamke anazunguka town hana mkoba,pochi ndogo wala leso yuko tu na kimeo chake mm nadhani huyo ni mwanamke mchafu cjisikii hata kumsalimia.

Sasa leso ya mwanamke kama kaiweka mfukoni utaionaje?? Acha ujinga wewe.
Ukimwona mwanamke anazunguka town hana mkoba,pochi ndogo wala leso yuko tu na kimeo chake mm nadhani huyo ni mwanamke mchafu cjisikii hata kumsalimia.
wewe noma inamaana hata ukimuona ameenda sehemu mara moja tu ni mchafu..
sidhani kama
kuna mwanamke
atazunguka akose
kua na mkoba au hata wallet!
ni ngumu Polisi ben!
Nimewaona kibao tu mbona
Mmoja nafanya nae kazi yukoyuko tuuuu.
kumbe unafatilia mizunguko ya watu...
Ndo kazi yako polisi wewe...