Polisi ben
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 303
- 83
- Thread starter
- #21
inategemea
na shughuli ya mtu
bana!sio kila sehemu
na limkoba tu kila wakati!
mi binafsi hua spendi kubeba,
wallet nimemaliza!
mmmmmh haya my dada
inategemea
na shughuli ya mtu
bana!sio kila sehemu
na limkoba tu kila wakati!
mi binafsi hua spendi kubeba,
wallet nimemaliza!
mmmmmh haya my dada
sawa kaka
tukutane home
bi mkubwa kakuulizia kinoma!
Ukimwona mwanamke anazunguka town hana mkoba,pochi ndogo wala leso yuko tu na kimeo chake mm nadhani huyo ni mwanamke mchafu cjisikii hata kumsalimia.
huyo naee kazi kunichunga tu cjui anaogopaga n chaaaaa