Mwanamke kuwa mlevi hata Haipendeziโ€ฆ

Mwanamke kuwa mlevi hata Haipendeziโ€ฆ

Mr George Francis

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
274
Reaction score
486
๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐— ๐—ž๐—˜ ๐—ž๐—จ๐—ช๐—” ๐— ๐—Ÿ๐—˜๐—ฉ๐—œ ๐—›๐—”๐—ง๐—” ๐—›๐—”๐—œ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐——๐—˜๐—ญ๐—œ

Hata kwa mtazamo wa kawaida ni kweli kuwa haifai wala haivutii na haistahili kabisa mwanamke kuwa chapombe.

Yaani mwanamke kunywa mipombe kupita kiasi kwa namna fulani inakuvunjia heshima, inaongeza dharau hata thamani yako inashuka sana.

Mwanamke ni pambo la nyumba, nguzo ya familia, mama, mlezi, na mfano wa heshima na adabu kwa watoto na jamii kwa ujumla.

Ulevi sometimes unaweza kupelekea mtu kuwa na maneno yasiyofaa, kukosa nidhamu, kujisitiri na wakati mwingine kusababisha aibu kwa familia.

Hasikwambie mtu ndugu yangu "heshima ya nyumba ni mama." Hivyo mama au mwanamke akiwa mlevimlevi huathiri heshima ya familia nzima.

Kimsingi haipendezi hata kidogo kuona mwanamke anakunywa tu mipombe na analewa hadi anapoteza fahamu. Yani haiendani kabisa na aiba ya kike.

Kuna ile huwa inatokea mtu akilewa pombe zinashuka chini. Utakuta mwanamke amelewa, nyege zinapanda anaanza kusaula hadharani.

Mtu amelewa hadi hajitambui anakata mauno hajali kama kuna watoto, hakumbuki kama yeye ni mama au mke wa mtu.

Hapa ndio wanaume wenye tamaa wanajichukuliaga point tatu. Kama ni walevi wenzie unakuta wanaenda kupeana utamu hawakumbuki hata kinga.

Lakini huwa kuna tofauti kati ya ๐—บ๐—ป๐˜†๐˜„๐—ฎ๐—ท๐—ถ yaani mtu anayekunywa kidogo kwa mpangilio na ๐—บ๐—น๐—ฒ๐˜ƒ๐—ถ yaani mtu anayependa pombe kupita kiasi.

Kuna mazingira ambayo mwanamke anaweza kuwa mnywaji tu (si mlevi), na bado akawa na heshima kwa mwili wake na majukumu yake.

Lakini mlevi wa kweli (hasa mama au mke) haipendezi kabisa na inakera sana.
Mwanamke unawezaje kuwa mlevi huku ukawa mama bora?

Mimi naona hata hiyo kunywa kidogo bado haifai.

Unaweza kukuta mama anashinda bar au kilabuni anakata pombe (mbwali) huku hajui huko nyumbani watoto wamekula nini!

Hii inakera zaidi kama mume wa huyo mwanamke mlevi yeye hanywi pombe. Daah! Sijui atawezaje kuvumilia hizo kero za mwanamke cha pombe.

Pombe ina madhara kwa afya, familia, na hadhi yake kama mwanamke au mama wa familia.

Mwanamke unarudi nyumbani unayumba yumba.! Mama unalewa hadi unajikojolea!! Unashindwa kutembea unabebwa! Daah! Inakera sana. Unaitia aibu familia yako.

Mjumbe hauwawi! Naomba msinipige mawe tafadhali, lakini acheni ulevi usio na maana.

Je, ni sawa kwa mwanamke kuwa mlevi? Una maoni gaji juu ya hili?
Tuandikie kwenye comments.

#no_learnig_no_earning
So We Have To Learn

Content By Mr George Francis

304006.webp
 
View attachment 3539470
Mzinzi happened
Malaya haipendezi
Mlevi haipenedezi
Mfir...haipe

Awe nani
 
Mwanamme inapendeza?
 
Ulevi uliopitiliza haupendezi kwa jinsia zote sio kwa mwanamke tu,
Madhara yote uliyo yataja kwa mwanamke mlevi, hata kwa Mwanaume pia yapo,

Au kama vipi wote wawili muwe walevi tu,ili siku nyingine muwe mnaamua kama mtalala hapo hapo Bar au mtarudi kulala Nyumbani.
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… tunalewa kwa pesa zetu bwashee ,ila tunapangiwa na wanywa soda namna ya kulewa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Back
Top Bottom