Mwanamke kuwa mlevi hata Haipendezi…

Mwanamke kuwa mlevi hata Haipendezi…

Ulevi sometimes unaweza kupelekea mtu kuwa na maneno yasiyofaa, kukosa nidhamu, kujisitiri na wakati mwingine kusababisha aibu kwa familia. Mama unalewa hadi unajikojolea!! Unashindwa kutembea unabebwa! Daah! Inakera sana. Unaitia aibu familia yako.
Kwahiyo kutia aibu familia ni jambo linalokubalika akifanya mwanaume?
au haya uliyoyaandika yanamaanisha nini?

Binafsi naamini ulevi uliopindukia ni jambo la hovyo, hasa likifanywa na wazazi au wanandoa bila kujali jinsia.
 
Mwanamke akiwa mlevi hasa wa pombe kali, makonda watamparamia kwenye daladala au zile basi za usiku.
 
waganda mkojo wa mwanamke alielewa zinga la tambiko la utajiri shehe ndio maana matajiri wengi wakinywa na mademuzao wakiona wameanza kukojoa ovyo wanapeleka lodge wanakuwa na combo kabisa demu anakojoaa watu wanagonga wanacha hela wanaondoka na mkojo

usiniulize zaid kinachoendelea
 
Mmh
 
Kuna baba mtu mzima sana huwa nakutanaga nae amelewa saa 1 au saa 2 anapita karibu napoishi amelew na amejikojolea ni daily huwa nasemaga angekuwa babayangu huyu ningemvizia kwenye kigiza nikamchapa bakora hat 5 tu aisee 😂😂😂
Mpasulie yai nyuma siku moja uone kama atakaribia eneo lakoo mpwa balaa sisi mtana ukilewa wanapasua yao wanamwaga ndani kabisa wanakuacha karibu na kwako mkeo ama hawara akubebe asbh yake wewee balaa
 
Mwanamke akiwa mlevi hasa wa pombe kali, makonda watamparamia kwenye daladala au zile basi za usiku.
Nilikuwa na rafiki anakunywa sijui ilikuwaje akawa mlevi tabia mbaya ilyokuwa inaniuza akiwa na mpenz wake anakulazimisha mtoke wakishalewa wanaanza kushikana shikana kufanya romance mbele za watu nilikuwa najiskia aibu sana sikutoka nae tena nakunywanzangu juis ya embe nyumbn natulia
 
Ni mambo ya ajabu, mtu kama huyo utakuta kaacha watoto wadogo nyumbani, inakera sana
 
Back
Top Bottom