Mwanamke kuwa mlevi hata Haipendezi…

Mwanamke kuwa mlevi hata Haipendezi…

Hadi wanajikojolea kumbe 😂
Afadhali huyu,, Kuna mwingine alikula sijui chips, nyama choma mazagazaga kibao... Finally akanywa na jagemaster sijui ile ya chupa ya kijani Kam unaifahamu hiyo pombe, we aibu nilimsaidia kuona mimi ,, sio kwa kujiharishia kule na amelewa chakari af alikuwa amevalia kigauni cha mini skirt dah.! 😱😱

Majamaa walokuwa wanakunywa waliamua kumstahi na kuomba kanga wakamfunika na kumpeleka bafuni.... Wee .. na ni kama huyo bidada alihama mitaa ile
 
𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗠𝗟𝗘𝗩𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗣𝗘𝗡𝗗𝗘𝗭𝗜

Hata kwa mtazamo wa kawaida ni kweli kuwa haifai wala haivutii na haistahili kabisa mwanamke kuwa chapombe.

Yaani mwanamke kunywa mipombe kupita kiasi kwa namna fulani inakuvunjia heshima, inaongeza dharau hata thamani yako inashuka sana.

Mwanamke ni pambo la nyumba, nguzo ya familia, mama, mlezi, na mfano wa heshima na adabu kwa watoto na jamii kwa ujumla.

Ulevi sometimes unaweza kupelekea mtu kuwa na maneno yasiyofaa, kukosa nidhamu, kujisitiri na wakati mwingine kusababisha aibu kwa familia.

Hasikwambie mtu ndugu yangu "heshima ya nyumba ni mama." Hivyo mama au mwanamke akiwa mlevimlevi huathiri heshima ya familia nzima.

Kimsingi haipendezi hata kidogo kuona mwanamke anakunywa tu mipombe na analewa hadi anapoteza fahamu. Yani haiendani kabisa na aiba ya kike.

Kuna ile huwa inatokea mtu akilewa pombe zinashuka chini. Utakuta mwanamke amelewa, nyege zinapanda anaanza kusaula hadharani.

Mtu amelewa hadi hajitambui anakata mauno hajali kama kuna watoto, hakumbuki kama yeye ni mama au mke wa mtu.

Hapa ndio wanaume wenye tamaa wanajichukuliaga point tatu. Kama ni walevi wenzie unakuta wanaenda kupeana utamu hawakumbuki hata kinga.

Lakini huwa kuna tofauti kati ya 𝗺𝗻𝘆𝘄𝗮𝗷𝗶 yaani mtu anayekunywa kidogo kwa mpangilio na 𝗺𝗹𝗲𝘃𝗶 yaani mtu anayependa pombe kupita kiasi.

Kuna mazingira ambayo mwanamke anaweza kuwa mnywaji tu (si mlevi), na bado akawa na heshima kwa mwili wake na majukumu yake.

Lakini mlevi wa kweli (hasa mama au mke) haipendezi kabisa na inakera sana.
Mwanamke unawezaje kuwa mlevi huku ukawa mama bora?

Mimi naona hata hiyo kunywa kidogo bado haifai.

Unaweza kukuta mama anashinda bar au kilabuni anakata pombe (mbwali) huku hajui huko nyumbani watoto wamekula nini!

Hii inakera zaidi kama mume wa huyo mwanamke mlevi yeye hanywi pombe. Daah! Sijui atawezaje kuvumilia hizo kero za mwanamke cha pombe.

Pombe ina madhara kwa afya, familia, na hadhi yake kama mwanamke au mama wa familia.

Mwanamke unarudi nyumbani unayumba yumba.! Mama unalewa hadi unajikojolea!! Unashindwa kutembea unabebwa! Daah! Inakera sana. Unaitia aibu familia yako.

Mjumbe hauwawi! Naomba msinipige mawe tafadhali, lakini acheni ulevi usio na maana.

Je, ni sawa kwa mwanamke kuwa mlevi? Una maoni gaji juu ya hili?
Tuandikie kwenye comments.

#no_learnig_no_earning
So We Have To Learn

Content By Mr George Francis

View attachment 3539470
ata mwanaume,mbona umewapendelea wanawake maana yake ni sahihi mwanaume kuharibikiwa?
 
Afadhali huyu,, Kuna mwingine alikula sijui chips, nyama choma mazagazaga kibao... Finally akanywa na jagemaster sijui ile ya chupa ya kijani Kam unaifahamu hiyo pombe, we aibu nilimsaidia kuona mimi ,, sio kwa kujiharishia kule na amelewa chakari af alikuwa amevalia kigauni cha mini skirt dah.! 😱😱

Majamaa walokuwa wanakunywa waliamua kumstahi na kuomba kanga wakamfunika na kumpeleka bafuni.... Wee .. na ni kama huyo bidada alihama mitaa ile
Duh aisee aibu ya mwaka
 
Duh aisee aibu ya mwaka
Sio Poa kabisaa... Ladies kama wanakunywa wa stick to na v Savana,vi wine wine hivi Kwa kiasi na tuserengeti lite... Hizi Kali Kali ngumu kumeza zinawachukua mapema ,,af mwisho wa siku ma Simp men wana take advantage na miili yao....Haifai kabisa lady kulewa... Kidogo sisi wanaume aibu yetu si Kali au kubwa ukilinganisha na akina mama
 
Mwanamke ana figo lake we una figo lako yann kichwa chako kiturn kweny figo la mwenzio haipendez
 
𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗠𝗟𝗘𝗩𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗣𝗘𝗡𝗗𝗘𝗭𝗜

Hata kwa mtazamo wa kawaida ni kweli kuwa haifai wala haivutii na haistahili kabisa mwanamke kuwa chapombe.

Yaani mwanamke kunywa mipombe kupita kiasi kwa namna fulani inakuvunjia heshima, inaongeza dharau hata thamani yako inashuka sana.

Mwanamke ni pambo la nyumba, nguzo ya familia, mama, mlezi, na mfano wa heshima na adabu kwa watoto na jamii kwa ujumla.

Ulevi sometimes unaweza kupelekea mtu kuwa na maneno yasiyofaa, kukosa nidhamu, kujisitiri na wakati mwingine kusababisha aibu kwa familia.

Hasikwambie mtu ndugu yangu "heshima ya nyumba ni mama." Hivyo mama au mwanamke akiwa mlevimlevi huathiri heshima ya familia nzima.

Kimsingi haipendezi hata kidogo kuona mwanamke anakunywa tu mipombe na analewa hadi anapoteza fahamu. Yani haiendani kabisa na aiba ya kike.

Kuna ile huwa inatokea mtu akilewa pombe zinashuka chini. Utakuta mwanamke amelewa, nyege zinapanda anaanza kusaula hadharani.

Mtu amelewa hadi hajitambui anakata mauno hajali kama kuna watoto, hakumbuki kama yeye ni mama au mke wa mtu.

Hapa ndio wanaume wenye tamaa wanajichukuliaga point tatu. Kama ni walevi wenzie unakuta wanaenda kupeana utamu hawakumbuki hata kinga.

Lakini huwa kuna tofauti kati ya 𝗺𝗻𝘆𝘄𝗮𝗷𝗶 yaani mtu anayekunywa kidogo kwa mpangilio na 𝗺𝗹𝗲𝘃𝗶 yaani mtu anayependa pombe kupita kiasi.

Kuna mazingira ambayo mwanamke anaweza kuwa mnywaji tu (si mlevi), na bado akawa na heshima kwa mwili wake na majukumu yake.

Lakini mlevi wa kweli (hasa mama au mke) haipendezi kabisa na inakera sana.
Mwanamke unawezaje kuwa mlevi huku ukawa mama bora?

Mimi naona hata hiyo kunywa kidogo bado haifai.

Unaweza kukuta mama anashinda bar au kilabuni anakata pombe (mbwali) huku hajui huko nyumbani watoto wamekula nini!

Hii inakera zaidi kama mume wa huyo mwanamke mlevi yeye hanywi pombe. Daah! Sijui atawezaje kuvumilia hizo kero za mwanamke cha pombe.

Pombe ina madhara kwa afya, familia, na hadhi yake kama mwanamke au mama wa familia.

Mwanamke unarudi nyumbani unayumba yumba.! Mama unalewa hadi unajikojolea!! Unashindwa kutembea unabebwa! Daah! Inakera sana. Unaitia aibu familia yako.

Mjumbe hauwawi! Naomba msinipige mawe tafadhali, lakini acheni ulevi usio na maana.

Je, ni sawa kwa mwanamke kuwa mlevi? Una maoni gaji juu ya hili?
Tuandikie kwenye comments.

#no_learnig_no_earning
So We Have To Learn

Content By Mr George Francis

View attachment 3539470
Haahhhah....

Hakuna mwanaume mwenye akili timamu anayekubali kuoa mwanamke wa pombe pombe.
 
Back
Top Bottom