Mwanamke kukataa kukutumia picha zake Whatsap ni ishara gani?

Wadau imenitokea nipo katika mahusiano na mwanamke mmoja tuna miezi miwili na mipango kadhaa tatizo lake hataki kunitumia picha zake Whatsapp wala kupiga picha na mimi anadai hana muda wa kupiga picha sina hata picha yake ukimuomba mpige picha anakuwa mkali japo huduma zote natoa hata akisuka vizuri ukiomba umpige picha au akutumie picha yake hataki
Heheheh
Muulize baba yako alitumiwa picha ngapi na mama yako wakati wa uchumba wao?
 
Labda hapendi picha, wewe ukimmiss mfate kwake ukamuone kama picha zake huna
 
Mna mda gani kwenye relationship enu,,kama nd mmeanza wala isikupe shida wengine nd wanakuwaga hivyo,,nakumbuka mi kuna mmoja alinikatalia kata kata kuntumia picha,cha kushangaza alivyosave namba zangu kila siku akawa ni mtu wa kupost picha zake kwa status ila baadae mambo yakakaa poa,

Ila kama mna mda mrefu kwenye mahusiano bas we jua kuna shida sehem
 
miezi miwili mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom