Mwanamke jifunze uvumilivu

Mwanamke jifunze uvumilivu

hizi ndoa mbona hazina jema kila siku ni haya haya na bado wengine tunafikiria kuoa kwelii. hapa nishajiandaa kisaikolojia maana lolote linaweza kutokea
Oa tuu mkuu chukua hizi kama changamoto usiogope utaweza kuyakabili haya..
 
If only unakua unaachika Na huna watoto

Au maybe ana kabiashara kanakomtia jeuri ya kulea watoto

Kama ningekua mm ningesimamia mstakabali wa wanangu wapate good education ma mahitaji mengine Na kama baba anatimiza mahitaji unatulia Wala hupeperuki

Hakuna wa peke yako now a days sana sana kiama kitakukuta kama unamngojea wako mwenyewe

Ingekua n Mimi ningeomba aolewe nijue tuko wawili asizini Kwa kujificha afanye heri kabisa
Nimemwambia wewe umekhusu nini kwenda mpaka ukamjua huyo mtoto na kujitia tafran?madhali hajakwambia
basi sio kweli au subiri akwambie,biashara hataki,yeye apewe hela aende likizo na watoto kwa mwaka mara2
apambe nyumba harusini sijui kidumbak vitu vya ajabu ajabu tuuu,lakini pia sawa tulia basi na mdomo juu
najitahidi nikishindwa basi shosti...
 
Kama shangazi wa wale watoto lov na amekuja kunielezea niwajibu wangu kumsaidia japo kwa mawazo
huenda ana hasira na kama unavyojua kila binadamu na upeo wake wakufikiri na kuamua anapokua na tatizo...
Katika maisha ya ndoa uzoefu ni muhimu katika kutoa ushauri. Katika mjadala huu unaweza kuhisi ni nani ameoa/kuolewa na ni nani ana ndoa changa (less than 10 years) au ni nani gwiji. Endelea na ushawishi wako ila hiyo ndoa inafika ukingoni. Kuwa na plan B kuhusu maisha ya hao watoto baada ya talaka. Ila akitoa talaka kaka yako ajiandae kwa machungu ya huyo mama na mama yake. Msumari wa moto atakuwa ameubeba. Nasema hivi ni bora mwanamke akakuchoka mwanaume, kwani kama bado anakupenda (kama huyo wifi yako bado anampenda kaka yako ila anatikisa kiberiti), ukimwacha cha moto utakachokipata unaweza hata jiua.
 
Mmmmmh Lakini mbona yule mume wa kwanza alimuacha kwa kashfa na jeuri na hakumfanya kitu na alikua anampenda
kupita maelezo? au niseme ivi kama rizki imeisha sawa lakini kumsaidia nikiwa kama mwanamke au mama ni wajibu wangu lakini kama imeshindikana basi...
 
Nimemwambia wewe umekhusu nini kwenda mpaka ukamjua huyo mtoto na kujitia tafran?madhali hajakwambia
basi sio kweli au subiri akwambie,biashara hataki,yeye apewe hela aende likizo na watoto kwa mwaka mara2
apambe nyumba harusini sijui kidumbak vitu vya ajabu ajabu tuuu,lakini pia sawa tulia basi na mdomo juu
najitahidi nikishindwa basi shosti...
Wifi yako n kilaza wa mwendokasi
 
Waache waamue wenyewe.. (Yani jiweke pembeni).
Lasivyo utabeba lawama zisizo zako
Mkuu siwaamulie ila yule mwanamke nilazima umpe mwenzio ushauri japo kidogo ikiwa anakosea,mwishi wa siku ni choice yao wawili..
 
Kwahiyo kama sina amani ya moyo hao watoto nitawaleaje?
Niendelee kuvumilia mwisho nife kwa stress wabaki yatima?
Stress unajipa mwenyewe, wenzetu wanasema samehe saba mara sabini nadhani wapo sahihi. Vitu vingine ni kuvidharau tu. Angalia yeye kaolewa na watoto wawili, wewe huoni huo ni msalaba kwa huyo mwanaume? Ayasemayo wifi yake NIMPENDENANI si lazima kuyakubali asilimia zote hasa madhaifu ya wifi yake. Kila siku nasema lazima uweke mizani faida na hasara za kuachana.
 
Wanawake wa siku hizi akiamua lake anakuwa na msimamo liwalo na liwe tu..yupo tayari hata kulia machozi mbele ya kikao cha wazee/baraza na hata kuongeza chumvi ya maneno zaidi hata kuongea na ya uongo au kukumbushia matatizo ya miaka mingi nyuma ilimradi tu lengo lake litimie.
**Mtu anapokuwa na hasira/huzuni akili yake inakuwa haiko sawa kwa muda.
USHAURI: mwambie bro wako aongeze muda ktk safari yake sababu kichwa cha wife wake kitapoa kadiri siku zinavyokwenda.
HUKUMU HALALI: kwa sheria ya kiislam kaka yako alipaswa kupigwa mawe mpaka kufa sababu ni mwanandoa na ameenda kuzaa nje ya ndoa.
=> Japo kuwa kaka yako ana pesa za kuwalea watoto na kujiendesha maisha yake, kitendo alichokifanya kwa mkewe si cha uungwana, hata kama mke akiondoka na kuteseka.
=>Mume(kaka) yako anapaswa kufuata taratibu zote za kijamii/kikabila/kidini kumuomba radhi mkewe na sio kusema "talaka atatoa aseme jengine"
 
Ndipo napojiuliza angeoa tu coz it seems like uwezo anao

Mwanamke amedai talaka kidini haitakiwi Na s Sheria anapaswa aikomboe

Wote wawili Wana makosa
 
Mmmmmh Lakini mbona yule mume wa kwanza alimuacha kwa kashfa na jeuri na hakumfanya kitu na alikua anampenda
kupita maelezo
? au niseme ivi kama rizki imeisha sawa lakini kumsaidia nikiwa kama mwanamke au mama ni wajibu wangu lakini kama imeshindikana basi...
Salama yake huyo jamaa ilikuwa ni pale alipompata kaka yako na akawa nazo au anachokipata hakikosi. Nadhani kimapato kaka yako anamzidi yule wa kwanza, ukiwa ni hayawani kama mimi, au akose alichokuwa anapata, msumari wa moto upo pale pale.
 
Inshallah roho yake itulie arudi kwake..
 
Back
Top Bottom