Mwanamke jifunze uvumilivu

Mwanamke jifunze uvumilivu

Wanawake wa siku hizi akiamua lake anakuwa na msimamo liwalo na liwe tu..yupo tayari hata kulia machozi mbele ya kikao cha wazee/baraza na hata kuongeza chumvi ya maneno zaidi hata kuongea na ya uongo au kukumbushia matatizo ya miaka mingi nyuma ilimradi tu lengo lake litimie.
**Mtu anapokuwa na hasira/huzuni akili yake inakuwa haiko sawa kwa muda.
USHAURI: mwambie bro wako aongeze muda ktk safari yake sababu kichwa cha wife wake kitapoa kadiri siku zinavyokwenda.
HUKUMU HALALI: kwa sheria ya kiislam kaka yako alipaswa kupigwa mawe mpaka kufa sababu ni mwanandoa na ameenda kuzaa nje ya ndoa.
=> Japo kuwa kaka yako ana pesa za kuwalea watoto na kujiendesha maisha yake, kitendo alichokifanya kwa mkewe si cha uungwana, hata kama mke akiondoka na kuteseka.
=>Mume(kaka) yako anapaswa kufuata taratibu zote za kijamii/kikabila/kidini kumuomba radhi mkewe na sio kusema "talaka atatoa aseme jengine"
Mkuu Kaka yangu yes makosa anayo ila huyoo mtoto sio wake na mwenyewe anamwambia mkewe,lakini mke ndio anashikilia wakwako mbona nimeona picha ndani ya cm yako,na hata kwa mume wa kwanza huo huo upekuaji wa cm amekutana na tafran akamuliza mume yule jamaa alikua hataki mchezo kamchapa na kumfukuza,sasa hapa napo unafanya same mistake ivi utakua una olewa nakuachwa na kila unakofika unaacha watoto inakuwaje?na she is 43yrs now...
 
Uvumulivu huo unaotaka awe nao wifi yako ni wa aina gani?
Wifiyo kasema kachoka kuona message za wanawake katika simu ya mumewe,na kama haitoshi kaka yako kazaa nje kabisa.

Nimeshtuka kaka yako alipokubali kutoa talaka kirahisi.
Ni wazi amemchoka wifi yako ndio maana kashindwa hata kumficha mtoto wake wa nje.
Lengo lake lilikuwa hilo (mkewe aombe talaka) na limeshafanikiwa.
Wifi yako akiendelea kung'ang'ania hiyo ndoa atateseka sana.

Hivi kusomeshewa watoto ni nini?Ndoa maana yake ni makhaba yaliyokomaa yaliyopelekea ndoa.
Kama makhaba hakuna tena ndoa ya nini?
Jamani wanawake tuachane na hii kasumba ya kunga'ang'ania mateso kwa kigezo cha "kulea watoto, watoto watateseka"
Kama hakuna mapenzi tena katika ndoa hakuna cha zaidi ya kuachana.

Ni kweli, lazima apate tabu ya kuishi bila mume na watoto bila ya baba lakini amani ya moyo ni zaidi ya yote,mwisho wa siku maisha lazima yaendelee.
Period
Nifah umeongea ukweli,suala la uvumilivu lina mwisho wake mpaka kufikia kusema basiii ujue huyo dada kavumilia na kuteseka mpaka mwisho,ni bora kujua umeachika atalea watoto wake kuliko kuvumilia kusikoisha mwisho apate vidonda vya tumbo na magonjwa ya moyo buree.
Mi pia nimepitia yangu imefika sehemu nimemwambia mwaka ukiisha baba km hakieleweki shika njia yko nami yangu mtoto tutalea tuu unavumilia mpaka unaona moyo unachoka kilazima hapana,
Ifike sehemu wanawake tuseme hapa kwa uvumilivu usio na maana kisa umezaa.
 
Mkuu Kaka yangu yes makosa anayo ila huyoo mtoto sio wake na mwenyewe anamwambia mkewe,lakini mke ndio anashikilia wakwako mbona nimeona picha ndani ya cm yako,na hata kwa mume wa kwanza huo huo upekuaji wa cm amekutana na tafran akamuliza mume yule jamaa alikua hataki mchezo kamchapa na kumfukuza,sasa hapa napo unafanya same mistake ivi utakua una olewa nakuachwa na kila unakofika unaacha watoto inakuwaje?na she is 43yrs now...
Umeshawahi kupekua simu ya mume wako?.
Je ni sahihi mke/mume kupekuwa simu ya mwenzake?
*Kama kweli mume(kaka) hana mtoto, basi hakuna tatizo na ndoa itaendelea kwa sababu ni swala dogo tu la kuthibitisha mbele ya kikao kwamba ni habari za uzushi.
*Ikitokea mume(kaka) amezaa kweli nje ya ndoa basi asimpe talaka bali amuombe radhi mkewe. (pumzi na pesa zisitupe jeuri)
NB: usimuamini sana mwanaume akikuambia mtoto sio wake kwa mdomo bila VITHIBITISHO na KIAPO, sisi wanaume ni waongo sana.
=> Hakimu mzuri ni yule anaeamua kesi kwa uthibitisho na ushahidi kutoka pande zote 2.
 
Mungu annusuru sana kwa hilo niliwahi mara 2 na nikasema sitorudia tena na sio nimechukua cm kwa nia ya kupekura nilikua bedroom juu yeye alikua chini sasa aliagiza kuku wa kienyeji kwa dadake shamba ili asubuhi akija aje nao,akanambia chukua cm yangu upige sasa siunajua Iphone msg ikawa juu nikasoma ndio nikafungua cm nilipoona msg kuku alinishinda lol..
 
Umenichekesha sana
 
Uvumulivu huo unaotaka awe nao wifi yako ni wa aina gani?
Wifiyo kasema kachoka kuona message za wanawake katika simu ya mumewe,na kama haitoshi kaka yako kazaa nje kabisa.

Nimeshtuka kaka yako alipokubali kutoa talaka kirahisi.
Ni wazi amemchoka wifi yako ndio maana kashindwa hata kumficha mtoto wake wa nje.
Lengo lake lilikuwa hilo (mkewe aombe talaka) na limeshafanikiwa.
Wifi yako akiendelea kung'ang'ania hiyo ndoa atateseka sana.

Hivi kusomeshewa watoto ni nini?Ndoa maana yake ni makhaba yaliyokomaa yaliyopelekea ndoa.
Kama makhaba hakuna tena ndoa ya nini?
Jamani wanawake tuachane na hii kasumba ya kunga'ang'ania mateso kwa kigezo cha "kulea watoto, watoto watateseka"
Kama hakuna mapenzi tena katika ndoa hakuna cha zaidi ya kuachana.

Ni kweli, lazima apate tabu ya kuishi bila mume na watoto bila ya baba lakini amani ya moyo ni zaidi ya yote,mwisho wa siku maisha lazima yaendelee.
Period
Nifah hata sikuungi mkono ataondoka kwa wangapi wanaume wameumbiwa tamaa ..avumilie alee watt asiondoke kama kuondoka aondoke mume
 
Sio wanaume wote wako hivyo.
Nadhani ningedeclare interest kwanza...Mimi huwa sivumilii wala kumng'ang'ania mwanaume/mapenzi ambayo naona yameshafika kikomo.

Nadhani hii ni inferiority complex kudhani kwamba ukiachana na mwanaume huyu utakosa mbora zaidi yake au wote ni sawa.

Mapenzi yanapokufa move on,kuendelea kung'ang'ana ni kupoteza fursa ya kumpata mume mwema ambaye Mungu amekupangia ila kikwazo ni wewe na uking'ang'anizi wako.

I wish wanawake wote tungekuwa na ujasiri wa kumove on...
 
Thats where you are wrong! Nifah hata sie wanaume lazima tujiulize nikiacha huyu je, nitapata aliyekamilika. Kwa hili na mimi lazima ni eclare interest ... mke wangu nilimfuma jamaa anamtusua, to cut the sad story short bado nipo naye na amebadilika sana! Maisha ndivyo yalivyo
 
Nifah i can undestand your point of view lakini hiyo mateso anayoteswa yeye ni yepi? kwanza kilimtuma nini kufungua cm ya mumewe na kupekura? mume hakumwambia kama ana mtoto nje yeye ndio kaenda kuyatafuta na mamake mpaka wakayajua na pia sio sababau he is my bro ndio namtetea lakini na yeye pia wifi yangu ana mapungufu yake as a human
mfano Nifah Being mama mwenye nyumba au mke kweli mumeo anaamka na watoto kwenda kazini wewe umelala?
sio kama una umwa mzima,wewe zako ni Harusi sijui maulidi mara kwenye kufunda mwari upeleke sanduku mda na mume
hunaaaaa yote sawa ameyakubali tulia basi ulee wanao unataka Talaka sijui kama amefikiria sana ila kwangu sitopenda itoke hata kidogo...
Du! Hakika sijawahi kuona wifi kama wewe, sijaolewa ila mawifi ninao wasikia hajawahi tokea. Mungu akujalie moyo huo huo na upendo ulionao kwa huyo wifi yako.
Namuomba mungu nikiolewa nipate mtu karibu yangu kama wewe.
 
Acha kabisa mkuu chukulia ni ww unakuta sms kama hizo kwa wife wako labda na mtoto wa mwisho unagundua sio wako lazima aumie hata kama aliolewa na watoto wa5
Kuacha mume kwa kudai talaka ni sawa na kukimbia nchi kwa vile inanyesha... nchi utakakohamia nako msimu ukiwadia itanyesha tu, hamna namna
 
Thats where you are wrong! Nifah hata sie wanaume lazima tujiulize nikiacha huyu je, nitapata aliyekamilika. Kwa hili na mimi lazima ni eclare interest ... mke wangu nilimfuma jamaa anamtusua, to cut the sad story short bado nipo naye na amebadilika sana! Maisha ndivyo yalivyo
My dear kampeleweke nadhani hujanielewa vyema.
Sina maana ya kila anayekosea anastahili kuachwa au kuachana...hell no!Hakuna mapenzi yasiyopitia ups and downs,tunasameheana na mapenzi yanaendelea ila pale mambo yaleyale yanapojirudia hakuna namna zaidi ya kuachana.

Ninachomaanisha hapa ni yale mapenzi yaliyofikia kikomo kama ya wifi yake mtoa mada na kaka yake.
Wifi kasema amechoka (that means yamekuwa yakijirudia yaliyomchosha)
Na mumewe kafikia hatua ya kuzaa nje kabisa!
Mbaya zaidi mume yupo tayari kutoa talaka.
Hivi kuna nini hapo tena?Kweli unaweza kusema hao bado wanapendana kiasi cha kupambana kuilinda ndoa yao?

Well...case yako wewe ni tofauti.Ulimfumania lakini kwakuwa bado ulikuwa unampenda ndio maana uliweza kumsamehe na hadi leo bado mpo na mkeo kabadilika sababu anakupenda na alichokifanya aliteleza tu.

Umeuona utofauti?

Pole na hongera,ni mapenzi yenu baina yenu yaliyoweza kuiokoa ndoa yenu na sio vinginevyo.
 
Afanye vile moyo wake unataka...

Kuwa na watoto sio sababu ya mwenza kusaliti hovyo

Kaka yako angejua mkewe ana mtoto wa nje angechukuliaje????? Wifi yako ana moyo wa nyama na damu pia...hujui kavumilia mangapi

Afanye vile anaona ni sawa kwake.......asije hamishia hasira kwa wanae buuure
 
Uvumulivu huo unaotaka awe nao wifi yako ni wa aina gani?
Wifiyo kasema kachoka kuona message za wanawake katika simu ya mumewe,na kama haitoshi kaka yako kazaa nje kabisa.

Nimeshtuka kaka yako alipokubali kutoa talaka kirahisi.
Ni wazi amemchoka wifi yako ndio maana kashindwa hata kumficha mtoto wake wa nje.
Lengo lake lilikuwa hilo (mkewe aombe talaka) na limeshafanikiwa.
Wifi yako akiendelea kung'ang'ania hiyo ndoa atateseka sana.

Hivi kusomeshewa watoto ni nini?Ndoa maana yake ni makhaba yaliyokomaa yaliyopelekea ndoa.
Kama makhaba hakuna tena ndoa ya nini?
Jamani wanawake tuachane na hii kasumba ya kunga'ang'ania mateso kwa kigezo cha "kulea watoto, watoto watateseka"
Kama hakuna mapenzi tena katika ndoa hakuna cha zaidi ya kuachana.

Ni kweli, lazima apate tabu ya kuishi bila mume na watoto bila ya baba lakini amani ya moyo ni zaidi ya yote,mwisho wa siku maisha lazima yaendelee.
Period
Na watu wote waseme "hakika"

Hata angekuwa na watoto 10..... aende kama anataka kwenda

Huu uvumilivu wa kuwanao wanawake tuuuuuu mie siuelewagi..... na kuna vya kuvumilia jamani ila sio uzinzi umalaya vipigo na kutoheshimiana
 
Afanye vile moyo wake unataka...

Kuwa na watoto sio sababu ya mwenza kusaliti hovyo

Kaka yako angejua mkewe ana mtoto wa nje angechukuliaje????? Wifi yako ana moyo wa nyama na damu pia...hujui kavumilia mangapi

Afanye vile anaona ni sawa kwake.......asije hamishia hasira kwa wanae buuure

Na watu wote waseme "hakika"

Hata angekuwa na watoto 10..... aende kama anataka kwenda

Huu uvumilivu wa kuwanao wanawake tuuuuuu mie siuelewagi..... na kuna vya kuvumilia jamani ila sio uzinzi umalaya vipigo na kutoheshimiana
Naam,una busara sana my dear,umenifurahisha kiasi nakosa maneno sahihi ya kukuambia.

Umepita mulemule nilikopita mimi.

Wanawake tuseme inatosha sasa kuvumilia visivyovumilika.

Kuna maisha zaidi ya ndoa
 
Du! Hakika sijawahi kuona wifi kama wewe, sijaolewa ila mawifi ninao wasikia hajawahi tokea. Mungu akujalie moyo huo huo na upendo ulionao kwa huyo wifi yako.
Namuomba mungu nikiolewa nipate mtu karibu yangu kama wewe.
Inshallah mwenyezi mungu atakupa wifi muelewa na anaekupandaaa mpaka utakunikumbuka,inshallah akupe mume anaekupandaaa mpaka unenepe kwa mapenzi na anavyokudekeza..
 
Na watu wote waseme "hakika"

Hata angekuwa na watoto 10..... aende kama anataka kwenda

Huu uvumilivu wa kuwanao wanawake tuuuuuu mie siuelewagi..... na kuna vya kuvumilia jamani ila sio uzinzi umalaya vipigo na kutoheshimiana
Badili Tabia Mkuu kila binadamu ana mapungufu yake hata wifi yangu ana mapungufu yake,ila akitaka watu waweke cards on the table wote watakua na makosa,yeye wakikosana kodogo nipe talaka yangu,au huyo mtoto aloona picha kwenye cm kulikua na ulazima gani kwenda kumtafuta mpaka amuone au aseme ndio mwanao japo mume anakata sio mwanae?
simtetei my bro niko upande wa wifi yangu sababu nimwanamke kama mimi na i know how it feels mumeo aki cheat inaumaje lakini anadhani kudai talaka ndio salution? akisha dai talaka what is next nyumba wanaoyo ishi na mamake ni ya bro,babake mzazi na mamake wameachana baba ameoa mke mwengine na hataki ujinga kawatimua zamani na ndio sababu ya yeye kuolewa ili aishi na mama yake kwenye ndoa yake ya mwanzo,bro amejenga nyumba ndio anayo kaa mama yake wifi sasa why a complicate things? sisemi ateseke kisa hatokua na pakuishi lakini hana hata hela ya kuanzia maisha namuonea huruma ila kama that's what she wants i will respect her decision ..
 
Afanye vile moyo wake unataka...

Kuwa na watoto sio sababu ya mwenza kusaliti hovyo

Kaka yako angejua mkewe ana mtoto wa nje angechukuliaje????? Wifi yako ana moyo wa nyama na damu pia...hujui kavumilia mangapi

Afanye vile anaona ni sawa kwake.......asije hamishia hasira kwa wanae buuure
Mwisho wa siku choice ni yake ni sawa atakavyo amua..
 
Back
Top Bottom