Mwanamke huficha wapi pesa yake?

Mwanamke huficha wapi pesa yake?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,328
Reaction score
11,465
Mshahara wangu wa mwezi March umechelewa kutoka Mpaka tarehe hii. Nilihitaji kiasi cha Tsh 1.4m kwa ajili ya kufanyia jambo fulani

Najua mke wangu hawezi kosa hiyo pesa. Najua anatunzia chumbani ila tu sijui ni location ipi. Nimetafuta hadi nimechoka. Nikisema nimuazime, hawezi nipatia. Si mnajua tena pesa ya mwanamke? Nimepanga nimpigie tukio, halafu nimrejeshee tarehe 15

PIN za laini zake na kadi ya benki nazifahamu, hakuna hela humo. Huwa naona anaingia kwenye chumba changu kisha anatoka na burungutu.

Mwanamke hutunzia wapi pesa yake?
 
Akiwa kasafiri au yuko kazini na unajua hawezi kufika baada hata ya masaa mawili
We mpigie simu mwambie nyumba inateketea kwa moto, kama una kitu cha maana niwahi kutoa na vibaka/wasamaria wema wameanza kuingia wakisaidia kutoa vitu

Sema upesi kuna vitu sehemu umeweka niokoe
Usije kunishukuru baadae kama ukiwa wewe ndio kibaka
 
Mh unafanyia vitu venye anapenda kweli! Em jaribu mfurahishe to the maximum atakupa otherwise hakupendi .
 
Back
Top Bottom