Mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi?

hahahaha!huu mjadala ni mpana sana!
na kwakweli lediiz woote wataukimbia au WATAPINGANA NAO kufa kupona
 
Nathibithisha ya kwamba nimewahi kumbikiri msichana ana ananikumbuka mpaka leo!

bado hujathibitisha bila mashaka yoyote.....kwanza pale uliweka ka-disclaimer kiaina eti si kwa KUKUMBUSHIA.......

lieleze hili jamvi ni vipi una uhakika kuwa bado anakukumbuka kwa hilo 'jema' (au ni baya??) ulomtenda??
 
Hivi ni kweli kuwa mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi (kumbikiri) hata kama mwanamke huyo atakuja kuolewa na mwanamume mwingine hapo baadaye?

Mimi naamini its very very unlikely kumsahau (kuna mdau kasema hasa kama alibakwa)! Kama ilivyo kwa wanaume pia tunakumbuka watu tuliowa.. kwa mara ya kwanza au hata tuliowabikiri. Sasa kumkumbuka ni suala moja na kupenda ni suala jingine kabisa. Sina hakika katika haya mawili umekusudia nini hasa.
 
ahsante sana kwa majibu mazuri muhishimiwa m'bunge!.....

eeeh MUHISHIMIWA CHARITY SWALI LA NYONGEZA
Nina maswali 2 mh, A na BE

Hivi unajua kwamba si wanaume wote wamewahi kupata bahati ya kubikiri msichana? Ndio maana nina uhakika kabisa, yule niliyebahatika kumbikiri ananikumbuka mpaka leo na nina ushahidi wa hilo....(sio wa kukumbushia lakini)!

Swali lingine?

Kama siku hizi kuna teknolojia zakutengeneza Bikra hapa ndani ya nchi(Wazaramo) na nje ya nchi(wachina),Je huoni kuwa kubikiri msichana sio bahati tena?
Na nyie wanaume kwa nini huwa mnaona kuwa nyie mnastahili kupoteza bikra zenu za asli na kuona ni kitu cha kawaida?
 
Mi sijawahi kumtoa mtu bikira, i mean msichana!!
kumbe huwa wanakumbukaga eeh! ngoja nitafute katoto ka darasa la saba au mnasemaje??!!
Nasikia vya fom two unakuta tayari used hata kutumia kama spear hazifai tena!
 
Bikra zetu zikoje? zikitoka huwa inatokea nini?
 
bado hujathibitisha bila mashaka yoyote.....kwanza pale uliweka ka-disclaimer kiaina eti si kwa KUKUMBUSHIA.......

lieleze hili jamvi ni vipi una uhakika kuwa bado anakukumbuka kwa hilo 'jema' (au ni baya??) ulomtenda??

Kwa kifupi ni kwamba bado tunawasiliana kwa simu japokuwa ameshaolewa! Je huo sio uthibitisho tosha?

Una swali la nyongeza ndugu mbunge wa viti maalum toka Tandahimba?
 
Nina maswali 2 mh, A na BE

Kama siku hizi kuna teknolojia zakutengeneza Bikra hapa ndani ya nchi(Wazaramo) na nje ya nchi(wachina),Je huoni kuwa kubikiri msichana sio bahati tena?
Na nyie wanaume kwa nini huwa mnaona kuwa nyie mnastahili kupoteza bikra zenu za asli na kuona ni kitu cha kawaida?

Hizo za kubumba ni za siku hizi, sisi tunazungumzia zile ORIGINAL......!!
 
Mi sijawahi kumtoa mtu bikira, i mean msichana!!
kumbe huwa wanakumbukaga eeh! ngoja nitafute katoto ka darasa la saba au mnasemaje??!!
Nasikia vya fom two unakuta tayari used hata kutumia kama spear hazifai tena!

Tafadhali sana usiharibu watoto wa watu kwa ajili ya ''fantasy'' zako. Fikiria kama akifanyiwa binti yako hivyo utajisikiaje!
 
Kwa kifupi ni kwamba bado tunawasiliana kwa simu japokuwa ameshaolewa! Je huo sio uthibitisho tosha?

Una swali la nyongeza ndugu mbunge wa viti maalum toka Tandahimba?
mimi mwanamke yeyote mpya kwangu ni kama nimemvunja/toa bikira tu!!
kama kukumbukwa ndo kigezo cha kumtoa mtu bikira, basi mi wananikumbuka wengi sana......#
Huwa nafuta last memories zote...inabaki ya kwangu tu!! if yu no wati ai mini!!
 
Mama Brian inaonekana jamaa walikata utepe ukiwa bado mtoto sana[/QUOTE]
Hapana Da Womenizer,tena huwezi amini kwa upande wangu nilichelewa sana haya mambo, nilikuwa serious sana na kitabu na nilikuwaga naogopa sana kupata mimba kabla ya kutimiza malengo yangu.utotoni yalikuwa mambo ya kutumiana vikadi kadi tu lakini si kuingia deep kiasi hicho, nilikuwa muoga sana! teh teh!
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol jamani nyie viumbe mnaniua kabisaaaaaaaaaaaaa lol!!!

we masaki mi viti maalum??? jiangalie wewe!!!! nani anataka huruma weweeeee!!!??
 
Back
Top Bottom