Mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi?

Hasa kama alibikiriwa kwa kubakwa!

Haswaaa kama ulibakwa utamkumbuka kwa kitendo hicho cha kubakwa, otherwise mie sioni kama ni kitu cha maana wala chenyhe msingi kumkumbuka eti tu kwa kuwa alikubikiri, cha msingi labda umkumbuke yule mpenzi wako aliyekukoleza kisanaaa.

Kwa upande wa mapenzi hapa ndo hata ukiwa umeolewa lazima utamkumbuka aliyekuwa akikutosheleza kimapenzi pangine kuliko huyo mume aliyekuoa! na ukipata nafasi unamrudia mnakumbushia kidogo then ndoa inaendelea heheheee:smiling::dance:
 
Leo mshatuharibia week-end yetu~sisi tunajua mnatukumbuka kumbe hola, walaah nabada ushungu wa moyo!.

ha ha Yego bana ngoja nikuibie siri wewe tu,utakumbukwa kama ulikuwa una mapigo motomoto sasa kama ulikuwa unaenda kupakaa nanihii tu pale utakumbukwaje? siri yako usimwambie mtu.
 
Haswaa kama ulibakwa utamkumbuka kwa kitendo hicho cha kubakwa, otherwise mie sioni kama ni kitu cha maana wala chenyhe msingi kumkumbuka eti tu kwa kuwa alikubikiri.

Cha msingi labda umkumbuke yule mpenzi wako aliyekukoleza kisanaaa kwa upande wa mapenzi hapa ndo hata ukiwa umeolewa lazima utamkumbuka aliyekuwa akikutosheleza kimapenzi pangine kuliko huyo mume aliyekuoa! na ukipata nafasi unamrudia mnakumbushia kidooogo then ndoa inaendelea heheheee:smiling::dance:

God forbid.!!!
 
ha ha Yego bana...ngoja nikuibie siri wewe tu...utakumbukwa kama ulikuwa una mapigo motomoto sasa kama ulikuwa unaenda kupakaa nanihii tu pale utakumbukwaje? siri yako usimwambie mtu

dah wa kwetu mimi haijalisha alikuwa mtaalamu kiasi gani......tukifunga ukurasa tumefunga, even his name has nothing to do with me and he goes to hell!!
 
ha ha Yego bana ngoja nikuibie siri wewe tu utakumbukwa kama ulikuwa una mapigo motomoto sasa kama ulikuwa unaenda kupakaa nanihii tu pale utakumbukwaje? siri yako usimwambie mtu
Hee he he, hapo umenimaliza, kweli umri ule watu bado mnacheza chandimu mtu utakuwa na mapigo kweli!. Kweli wewe ni chiboko~eti kupakaa nanihii.
 
Naweza usim bikiri mwanamke au hata kumpa the best sex of her life lakini bado ukamgusa kwenye moyo wake na akakupenda milele.

Wapo my ex girlfriends ambao wananipenda mpaka wamewapa watoto wao jina langu but guess what,sikuwakuta wakiwa bado mabikira love iko very complicated sometimes.
 
Hmmm maumivu yepi hayo? Ya moyo au ya goodies?

Halafu wanawake wengi wanasema hivyo,kwa nini au ni regrets za kufanya wrong choices in life.

Sio ya moyo bali kwa malkia,halafu unakutana na machine guni ya uhakika sasa hapo raha haipo kabisa labda anayebikiri aendelee kuwa mpenzi kwa miezi/miaka kadhaa na kukufundisha mautundu ya mahaba mpaka ukazoea na kupata raha kabisa.

Ila kama yeye anataka kusokomeza tu basi kila mara unatamani uepuke ratiba za shughuli.Kweli wanamme msijipe moyo,nadhani sometimes ni kumdanganya mtu aone anafikiriwa sana kumbe wapi.
 
Hivi kwanza kubikiri au kubikiriwa kuna raha gani? Manake sielewi kabisa watu kufanya hiki kitu kuwa big deal. Nimeshagawahi kuambiwa eti huwaga inauma sasa kama inauma hicho nacho ni kitu cha kukikumbuka kwa nostalgia.Inavyosemekana wengine hutokwa hadi na damu which leads me to think it hurts,sasa what is so special or enjoyable about that? It's lunacy.

Mie hata simkumbuki/kumuwaza full maumivu!

Sio ya moyo bali kwa malkia Halafu unakutana na machine gun ya uhakika sasa hapo raha haipo kabisa Labda anayebikiri aendelee kuwa mpenzi kwa miezi/miaka kadhaa na kukufundisha mautundu ya mahaba mpaka ukazoea na kupata raha kabisa Ila kama

Yeye anataka kusokomeza tu basi kila mara unatamani uepuke ratiba za shughuli,kweli wanamme msijipe moyo,nadhani sometimes ni kumdanganya mtu aone anafikiriwa sana kumbe wapi.

Asante kwa kuthibitisha kile nilichokuwa nakidhania.
 
Sio ya moyo bali kwa malkia,halafu unakutana na machine gun ya uhakika sasa hapo raha haipo kabisa.

Labda anayebikiri aendelee kuwa mpenzi kwa miezi/miaka kadhaa na kukufundisha mautundu ya mahaba mpaka ukazoea na kupata raha kabisa.Ila kama yeye anataka kusokomeza tu basi kila mara unatamani uepuke ratiba za shughuli.

Kweli wanamme msijipe moyo,nadhani sometimes ni kumdanganya mtu aone anafikiriwa sana kumbe wapi.
Leo naona mmeamua kusema karibia na ukweli, nasi tutaendelea kujipa moyo kwamba tunakumbukwa sana.
 
Hakuna kitu kama hicho, hizo ni stori za mtaani zisizo na ukweli wowote!
 
Na wengine husema eti mkionana mnaweza kukumbushana, Hakuna kitu kama hicho wanaume msijidanganye, yaani there is nothing like that hakuna kabisaaaaaa yakipita yamepita, kwanza huwa ni utoto tupu.Ni fikra potofu na za kizamani kabisa.
 
Na wengine husema eti mkionana mnaweza kukumbushana, Hakuna kitu kama hicho wanaume msijidanganye, yaani there is nothing like that hakuna kabisaaaaaa yakipita yamepita, kwanza huwa ni utoto tupu.Ni fikra potofu na za kizamani kabisa.

Hebu chukulia kwamba huyo aliyekuleta katika ulimwengu huo ulienda naye kwa takribani mwezi mmoja halafu ukamkuta ni mjanja na anayaweza mavituz, halafu haikutokea akakuoa, je utaacha kumkumbuka? Wanaweza wasiwe wanawake wote wenye kukumbuka na kutamani kurudi, lakini walio wengi wako hivo sema tu hawawezi kurudi kwa kutunza ndoa zao za sasa lakini wasiothamini ndoa aaaaaaaa, lazima wakumbushie!!
 
sio wewe tu wengi tunajuta....na huyu sijui bugwasie ndio kanifungua ubongo kuwa majamaa yanajipa matumaini huko yalipo kuwa yanakumbukwa...he he he
PRETA, leo naona umeamua kuweka mambo hadharani!!! TBH haya mambo ya kuwa wa kwanza ni ego tu inasumbua vichwa vya watu... either awe dume au jike
 
Back
Top Bottom