Mwanamke hawezi kukaa bila ku-"do" kwa miaka 3?

Waugwana yote semeni,but wanawake ni wavumiivu sana!,sasa linapokuja suala la muda kwa kweli miaka mitatu ni mingi sana,just imagine 2006 mpaa 2009 si ndio miaka 3?,ni mingi sana.baadhi ya mambo ambayo niliyafanya 2006 nimeshaanza kuyasahau.hapa ninataka kuonyesha kuwa miaka 3 mitatu ni mingi sana,pamoja na uvumilivu tulionao but miaka mitatu ni too much!!!!!!
 
Unajua hapa wengi mna miss kitu kimoja. Mwanamke mwenye umri mdogo na mwenye afya nzuri ambaye bado hajafikia menopause ni ngumu sana kuvumilia kwa sababu atakuwa anashindana na mambo ya asili. Viwango vyake vya estrogen bado viko juu na itamwia vigumu sana kushikwa na hamu halafu asitake kuridhishwa.

Kwa upande mwingine, mwanamke aliyekwishafikia menopause libido yake inakuwa imeshuka sana. Na ili kupatwa hata na hamu ya kumegwa, kwa wengine inabidi hata wa undergo hormone replacement therapy. Sasa huyo menopausal woman huyu ukinambia anaweza akakaa aka tatu bila kumegwa ninaweza kukubaliana na wewe lakini sio hawa wenye miaka 20 na 30 na ushee.
 
Hapa SIwezi Kumsemea MOYO wake, Waje Wajisemee wenyewe, Kwani Ku-Do Saa Zingine ni Siri zao.

B.
 
Jana tulikua ktk kikao kisicho rasmi pale Landmark. Jamaa yetu mmoja kapata safari itakayomtenganisha na GF kwa muda wa miaka 3. Tukawa tunamtania kwamba ndani ya hiyo miaka mitatu kwa jinsi wanaume walivyo lazima atamega huko aendako. Mwingine akasema hata GF wamshikaji ktk kipindi chote hicho atakua kamegwa mara nyingi tu,eti wanawake hawawezi kuishi muda kama huo bila ku-"do"...

...kawaida ya mambo haya, washikaji ndio wanaokuwa wa kwanza kummendea shemeji yao. Mfano huyu jamaa aliyesema GF lazima amegwe, utakuta yeye ndio atayekuwa wa kwanza kupima maji!...
 
Mwanamke usimpe 100% Ni vigumu esspecialy kipindi hicho 3yrs is not a joke ilimkuta Swahiba wangu. Miezi 6 tu Binti akatupilia Mbali na pete ya Uchumba na walikuwa Waki-chat 24/7 wana maana hao? MWANAMKE MUAMINI MAMA YAKO MZAZI TU And Dont Trust any woman in this world Ni Wabaya Sanaaaaa wanashawishika Kirahisi na Kijinga. Wao wenyewe wanakiri Mwalimu wao KIPOFU NA KIZIWI, We mwache aende huko anapokwenda Mji huu ulivyoharibika Na Ma PDG Kama wavyojiita Wenywe Atajutaa Kuwafahamu
 
Waugwana yote semeni,but wanawake ni wavumiivu sana!,sasa linapokuja suala la muda kwa kweli miaka mitatu ni mingi sana,just imagine 2006 mpaa 2009 si ndio miaka 3?,ni mingi sana.baadhi ya mambo ambayo niliyafanya 2006 nimeshaanza kuyasahau.hapa ninataka kuonyesha kuwa miaka 3 mitatu ni mingi sana,pamoja na uvumilivu tulionao but miaka mitatu ni too much!!!!!!

Dada vipi miaka miwili? inavumilika?
 
Jana tulikua ktk kikao kisicho rasmi pale Landmark. Jamaa yetu mmoja kapata safari itakayomtenganisha na GF kwa muda wa miaka 3. Tukawa tunamtania kwamba ndani ya hiyo miaka mitatu kwa jinsi wanaume walivyo lazima atamega huko aendako. Mwingine akasema hata GF wamshikaji ktk kipindi chote hicho atakua kamegwa mara nyingi tu,eti wanawake hawawezi kuishi muda kama huo bila ku-"do". Hivi ni kweli jamani? Nilibishana nao sana kwani najua wanaume ndio sio wavumilivu ila wanawake mara nyingi hua wanao uwezo wa kuvumilia mambo hayo. Mwenye ukweli atupe please.

Miaka mitatu si mingi kama wataamua kuwa wanakula ugali kwa picha ya samaki, vinginevyo mh, shughuli nzito.
 
MWANAMKE MUAMINI MAMA YAKO MZAZI TU And Dont Trust any woman in this world Ni Wabaya Sanaaaaa wanashawishika Kirahisi na Kijinga. Wao wenyewe wanakiri Mwalimu wao KIPOFU NA KIZIWI,
Nakuunga mkono asilimia 95% mhe.
Wanawake watu wabaya sana hasa linapokuja suala la mahusiano na mapenzi. I dont trust them too. Ila ninachofanya nikimpenda mwanamke huwa sihitaji kujua kafanya nini na nani. Mpaka mwenyewe atajisikia vibaya hivi kweli huyu mtu ananipenda au la? Kwanini nife kwa kumfikiria mtu mwingine bwana ambaye ana Mama na Baba yake wakati mimi nikifa kwa presha yeye ataendelea kutanua jinsi ajisikiavyo.
Nafikiri umefika wakati wa wanaume kuacha kuwafuatilia wanawake zao wanamegwa na nani au hawamegwi na nani. Wewe ishi maisha yako uliyokuwa unaishi kwenu toka lini ukambadili mtu mliyekutana kwenye mkiwa na miaka 25 au 26 au 27 au 28 au 29 au 30. Ni kujidanganya tu na kujichosha akili yako na ukazeeka au kufa kabla ya wakati.
 
I'm not buying this nonsense! Hakuna atakayekaa aka tatu bila kumega au kumegwa kwa hiari yake. Ila kuna watu ambao wako naive na wanaamini huo upuuzi. Not I.

Ukitenganishwa na mwenzio kwa muda wote huo, basi kaa ukijua kumegwa ama kumega ni uwezekano (possibility) na ukubali tu hali halisi endapo utaamua kuwa na huyo mtu tena. La sivyo move on from the ex to the next.

watu wanapenda kujipa moyo sana, 3 yrs? mzima wa afya tele! mhh ngumu.
 
Nakuunga mkono asilimia 95% mhe.
Wanawake watu wabaya sana hasa linapokuja suala la mahusiano na mapenzi. I dont trust them too. Ila ninachofanya nikimpenda mwanamke huwa sihitaji kujua kafanya nini na nani. Mpaka mwenyewe atajisikia vibaya hivi kweli huyu mtu ananipenda au la? Kwanini nife kwa kumfikiria mtu mwingine bwana ambaye ana Mama na Baba yake wakati mimi nikifa kwa presha yeye ataendelea kutanua jinsi ajisikiavyo.
Nafikiri umefika wakati wa wanaume kuacha kuwafuatilia wanawake zao wanamegwa na nani au hawamegwi na nani. Wewe ishi maisha yako uliyokuwa unaishi kwenu toka lini ukambadili mtu mliyekutana kwenye mkiwa na miaka 25 au 26 au 27 au 28 au 29 au 30. Ni kujidanganya tu na kujichosha akili yako na ukazeeka au kufa kabla ya wakati.

kaka Sipo kwema?
 
Wangu uzuri tulikuwa hatujawai kufanya hayo mambo for ten years mpaka ndoa si unajua dini izi tena so kila kitu kilikuwa intact such that kama angefanya lazima ningegundua!
Ila uyo kama alishaonja walai lazima akumbushie,but you can pay her a visit
 
Mwanamke anaweza tu kukaa kwa mda wa siku nyingi hivyo kama mwanaume atakuwa anapa company sana hasa kwa sms,simu za kila wakati na mail kwa sana. Hapo ahh atasubiri sana na bila wasi wasi kabisa. Na kama mwanamke akimaanisha kupenda sio siri wala hatahangika na wanaume wengina.

Inakuwa shida sana kama pia hatakuwa anamwambini Mpenzi wake wa kiume. Mwanamke akipenda kutoka rohoni she really mean it....
 
ah! yaani i didnt want to comment lakini basi tu...kwani huyo rafikiyo hawezi pia kuamua kuto****na ankokwenda? yeye mbona mwenzake asiwe na wasiwasi??? this conversation is one sided and very chauvinistic!

...Shishi! What Do You Expect From PIGS?:D
 
twendeni na mombasa tukaone wanafanya nini issue kama hii......
 
na mimi kama mdada naomba niseme ukweli bila kuficha miaka mitatu ni mingi mno mimi ndio ningekua huyo mwanamke ningemueleza ukweli jamaa
 
Inategemea kwa kweli jamn mwanamke anaweza kukaa hata miaka 7 bila ya hii kitu nina uhakika kamili, tulizo moyo kaka mbona miaka 3 ni michache sana!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom