Mwanamke hawezi kukaa bila ku-"do" kwa miaka 3? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke hawezi kukaa bila ku-"do" kwa miaka 3?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bao3, Sep 10, 2009.

 1. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jana tulikua ktk kikao kisicho rasmi pale Landmark. Jamaa yetu mmoja kapata safari itakayomtenganisha na GF kwa muda wa miaka 3. Tukawa tunamtania kwamba ndani ya hiyo miaka mitatu kwa jinsi wanaume walivyo lazima atamega huko aendako. Mwingine akasema hata GF wamshikaji ktk kipindi chote hicho atakua kamegwa mara nyingi tu,eti wanawake hawawezi kuishi muda kama huo bila ku-"do". Hivi ni kweli jamani? Nilibishana nao sana kwani najua wanaume ndio sio wavumilivu ila wanawake mara nyingi hua wanao uwezo wa kuvumilia mambo hayo. Mwenye ukweli atupe please.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mwanamke ni mvumilivu kuliko mwanaume,jamaa awe mpole tuu ila akumbuke kumpa company demu wake via emails,simu,sms.
  Wangu alimanage for 3 years ughaibuni na aliporudi nilimpa zawadi though sometimes huwa wasumbufu.
  Ilifikia kipindi alipatwa na psychological problems wakashauri niende.
   
 3. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Alivyopatwa na psychological akawaje yani? Alitongoza wanaume au?
   
 4. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  C kweli aisee, naskia wanaume ndy tunakuwa na ashki kuliko wanawake.
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Njowepe,kwa hilo una ushahidi gani maana uswazi wanasema nonino ni barabara ya lami gari likipita haliachi alama,au?
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  I concur with you, lakini issue ni kwamba, anaweza kukaa 3yrs bila kugongwa?

  binafsi siamini kama inawezekana, especially kama amezoea kumegana, na zaidi kama ana-history ya zaidi ya ex-BF 3
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ...aaah, labda hivyo vigari vyenu ni vibajaji fulani hivi. naona hamjaona magari yenye fujo kama langu... likipita linaacha alama kwenye hiyo lami utafikiri kifaru au katapila la minyororo!!! vuruga vuruga tupu usipime
   
 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwanini lakini watenganishwe kwa miaka mitatu bila kuonana? Ni kitu gani hicho cha kumtenganisha mtu... masomo? Jeshi? au nini tena... Mbona kama masoma anaruhusiwa kusafiri naye. Hata kama hatasafiri naye bado kuna mambo ya likizo, si wataweza kuonana in between. Mambo mengine kusema haiwezekani ni kujitakia tu. Kafungwa jela ama...?!
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  SteveD,

  Miaka mitatu hata kama umeacha "alama", barabara itakuwa imeshakarabatiwa, unless uwe unapita njia hiyohiyo mara kwa mara mpaka mwenye "barabara" atakapokuwa amerudi!
   
 10. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ...bana eee, barabara za hapa bongo nani tena huyo anakarabati? Wahisani?!!
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Sep 10, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tunaweza sana!-Ni uamuzi tu
   
 12. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kunitia moyo. Maana jamaa walishaanza kumpa pressure mshkaji. Mshkaji dem wake anaonekana katulia lakini. May be kama unavyosema ataweza kusubiri bila kumegwa kwa miaka yote 3.
   
 13. GP

  GP JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahahahaaaa tetehteeeeh kwiii kwwiii bwaaaaahh
  YOU MADE MY DAY MKUU!! [​IMG]
   
 14. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mkuu kumbe ni wewe mwenyewe!!!
   
 15. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  No ni mshkaji wangu wa karibu sana. Si unajua utani wa kwenye vile vikao vyetu visivyo rasmi mkuu? maana ni rafiki yangu wa karibu sana. Baada ya watu kumpa maneno ya kumkatisha tamaa ilibidi nitumie muda wa ziada kumpoza. Ila jamaa alipata ganzi ghafla nami imani ilitaka kunitoka. Sasa huyo wa hapo juu at least kanipa mstari wa kuutumia leo: kwamba madem wakitaka wanaweza. Hivyo nitaweza kumshauri jamaa.
   
 16. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nami pia inaweza kunisaidia huko bdae ofcourse maana nataraji kuoa kama mwaka 2011 hivi. Kwahiyo nitakua natumia sentensi ya huyo mchangiaji kujiridhisha pindi niendapo trip zangu kikazi/masomo. Why not?
   
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  SteveD hivi unawajua wanawake au unawasikia tu? humu duniani kuna mwanaume anaweza kummega mwanamke halafu akawa na 100% guarantee kuwa kamtosheleza? Ndugu yangu hakuna kitu kama hicho,mwanamke akiamua kutulia anakuwa ameamua mwenyewe lakini sio kwa sababu ya kalufundi kako,hilo kaa ukilijua kabisa.
   
 18. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama kuna mtu alikua anamfukuzia akamkosa,utakapoondoka for 3 years lazima atammega tu. Ni too long time kwa mwanamke kukaa bila kale kagame kwakweli.
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,820
  Trophy Points: 280
  Mkuu ulijuaje kama kweli alimanage? Miaka mitatu kwangu inawezekana kwa wanawake wenye sifa kama za Bikira Maria. Otherwise ni wizi mtupu!!!
   
 20. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  ah! yaani i didnt want to comment lakini basi tu...kwani huyo rafikiyo hawezi pia kuamua kuto****na ankokwenda? yeye mbona mwenzake asiwe na wasiwasi??? this conversation is one sided and very chauvinistic!
   
Loading...