Mwanamke hawezi kukaa bila ku-"do" kwa miaka 3?

Miaka mitatu bila kumegwa? No way bana...lazima atakuwa na matatizo ya hormone huyo. Akiwa yuko sawa lazima atamegwa na atajichezea sana...tena sana tu
 
tell'em son...haya mambo ya kuongozwa ongozwa na societal pressures na kwenda against anatomical make up zetu ndiko huku kunakotupatia ma-vestigial organs na kuwafanya watu waishi na unnecessary frustrations!!
 
Mimi nina wasiwasi na huyo mwanakaka.Yeye ndio yupo kwenye hatari kubwa ya kumtosa mwenzake akishazoea huko aendako.Wanaume kubadilika ni rahisi kweli.Asije akamwacha dada wa watu anavumilia miaka 3,na kukataa wachumba ,muda unazidi kwenda hatimaye anarudi jamaa na maiwaifu mwingine.
Bao3 pamoja na kumtia moyo rafiki yako,mwonye pia asije akamchanganya akili dada wa watu.
 
mmmmm its all in the mind and how much self control u cna master!!! wanawake hata miaka mitano its possible and nothing becomes vestigial.infcat hofu ni kwenu nyie coz hata wiki mbili nyingi!!! ah wengine tuna saum eti!!!
 
Wanawake wana uwezo huo, ila lazima uwe na jitihada za kupiga simu na muwe mnashirikishana mambo mengi kama mkiwa pamoja. Hivi hujawahi kukaa mwezi bila kufanya na mkeo au demu? Yawezekana yote.
 
Hapa mjumbe mwenzangu inazunguziwa miaka mitatu! Siyo mwezi mmoja. Kama unauliza kuwa inawezekana kukaa mwezi bila kufanya nina wasiwasi wewe hata miezi mitatu huwezi!! Tehetehe!
 
Mwanamke ni mvumilivu kuliko mwanaume,jamaa awe mpole tuu ila akumbuke kumpa company demu wake via emails,simu,sms.
Wangu alimanage for 3 years ughaibuni na aliporudi nilimpa zawadi though sometimes huwa wasumbufu.
Ilifikia kipindi alipatwa na psychological problems wakashauri niende.
...Mh!! Ulithibitishaje kuwa ndani ya 3 years hakumegwa???
 
Asante kwa kunitia moyo. Maana jamaa walishaanza kumpa pressure mshkaji. Mshkaji dem wake anaonekana katulia lakini. May be kama unavyosema ataweza kusubiri bila kumegwa kwa miaka yote 3.

kwa jinsi ninavyokusoma, nadhani wewe ndo BF wa huyo dada, ndo maana una presha hivyo. nikutie moyo tu kwamba kila kitu kinawezekana, anaweza kuvumilia asimegwe akiamua na anaweza kumegwa akiamua na usigundue vilevile inategemea na situation. cha msingi uwe karibu naye muda wote na umuonyeshe upendo wa hali ya juu ili ajue hujapata mtu ukamsahau. all the best
 
Wanawake wana uwezo huo, ila lazima uwe na jitihada za kupiga simu na muwe mnashirikishana mambo mengi kama mkiwa pamoja. Hivi hujawahi kukaa mwezi bila kufanya na mkeo au demu? Yawezekana yote.
Sio miaka 3 hakuna cha mwanamke wala mwanaume!!!
 
I'm not buying this nonsense! Hakuna atakayekaa aka tatu bila kumega au kumegwa kwa hiari yake. Ila kuna watu ambao wako naive na wanaamini huo upuuzi. Not I.

Ukitenganishwa na mwenzio kwa muda wote huo, basi kaa ukijua kumegwa ama kumega ni uwezekano (possibility) na ukubali tu hali halisi endapo utaamua kuwa na huyo mtu tena. La sivyo move on from the ex to the next.
 
"Miaka mitatu bila kumegwa? No way bana...lazima atakuwa na matatizo ya hormone huyo. Akiwa yuko sawa lazima atamegwa na atajichezea sana...tena sana tu"

NOTHING IS IMPOSSIBLE WITH GOD AND TO THOSE WHO BELIEVE IN GOD
inawezekana - ni kiasi cha kuushinda mwili - mambo ya kumegana ni ya mwili - na ukitaka kuufurahisha mwili ndio hivyo .................. ina maana jamaa walikuwa wanavunja amri ya SITA?? wanafanya dhambi ya uzinzi?? ndio hasara hiyo .............otherwise angekuwa saa hivi anaongelea habari za "wife" sio "GF" - kama Walizoeshana mambo hayo na walifanya bila kumhofu Mungu WOTE WAWILI WATAVUNUJA AMRI YA SITA - OTHERWISE WATUBU NA KUMRUDIA MUNGU ILI ROHO YA UAMINIFU IINGIE NDANI YA MAISHA YAO; NA HATA WAKIWA MBALI MBALI - NGUVU YA MUNGU ITAWAFUNIKA - 3 years si mingi ukilinganisha jinsi masaa, siku, miezi na miaka inavyoondoka. Na pia tunda mojawapo la UPENDO ni UVUMILIVU
 
Kumegana ni bonge moja la stress reliever. Wewe sijui kama ni demu au ni meni lakini kwangu mimi, nisipomega kwa muda mrefu naanza kuwa na mi stress kibao. Naanza kuwa mchemfu. Nachemka chemka tu nikiona demu yoyote hata kama sio mkali. Lakini nikishamega huwa natulia sana. Nakuwa very cool, calm, and collected na sikati kati shingo nikiona demu.

Acha bana. Kwenda kinyume na nature kwa hiari yako ni kazi ngumu bana
 
You are a real Nyani Mkuu. Nakufagilia kwa kusema ukweli bila woga.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom