Nimedumu na mwanamke miaka 3 kwenye mahusiano bila kuona sura yake live hata siku moja katika maisha yangu

Dec 15, 2022
70
92
Mapenz ni kitu cha ajabu sana unaweza ukampenda mtu na usimjue alivyo. Ngoja niwape story wanangu kitu kilichonikuta me katika muhusiano na uyo bint.

Nimempenda dem kupitia njia ya simu kuwasilian tu mala whatsap vdeo call kutumian mapicha basi nikajikuta naingia katika mahusiano nae ndan ya miaka 3 tangu 2020-2022 mwaka huu ulivyoanza tu nimeachana uyo dem km wik 1 nyuma.

Kiukwel tulipendan sana me na uyo dem mamb meng sana tumeyapanga katka maisha yetu alkuwa ana mtu wakumpa sapport ktk upande wake zaid ya kwangu mm so ikapelekea me nijbebesh kla shida ya uyo dem nifanye iwe yangu kila anachokitak km kpo ndan ya uwezo wangu bas me nampa.

Ikafka stage dem akawa asikilizi familia yak zaid kunsikilza manen yangu me kila nnachomwambia kla anachoambiwa na familia yak alikuw n m2 mwenye kuvipotezea.sasa uyu dem alkuwa na tatzo moja tatzo hlo likanshangaza adi me alkuwa na shetan (jini) ktk mwil wake uyo jini alkuwa n wakiume, pia uyo alzaa na uyo dem watot wawil swal la kujiulza me nlijuaj km uyo dem ana jin ktk mwil wake.

Ilkuwa hvy unajua si wanaume tunahisia mzto sana ktk kumbembeleza mwanamke unawez ukaish na dem bas ukawa una pesa,una nyumba,una gar,pia una kaz maalum lakn mtoto akakuelewa vzur 2 bc hvyo ndo nilivyokuwa me adi mtoto akanielewa.

Wakat ninapokuwa naongea uyo dem huku nikimbembeleza kwa maneno matam basi uyo jini alkuwa ni kiumbe mwenye wivu sana nikichukua muda mwing galfa kaja yeye kchwan na kuanza kunisonya mala anan2kana me hyo hal nikaishaangaa na kunyima aman kwanza dem npo nae mbal yeye yup mkoa mwngn na me npo mkoa mwngn na ata cku 1 cjawai kumuona ktk maisha yang na kla nnapongea nae hii jin wak lazma aje ndan ya maika yot 3 hal ilkuw n hyo 2.

Sikuwai kumueleza m2 juu ya hil tatzo ata kwa familia yangu bali mungu pekeee ndo aliekuwa anajua nikawa najiulza maswal meng nmempenda jin lakn nikasema hapan si jin bal ni bnadam km me.

Nkaja nkapata wazo nakamwambia natak niwajuan ndugu zak akukataa akuonesha kipingamiz akanpa namba ya dada ake nikawasilia nae nikajtambulisha me ni nan npo vp na ndug yake akanjua mana alkuwa tayar alshaeleza kuhus me unajua uyu dem altak me nikamuoe kutokana na mazingira anayoish si mazur kabis ila me nlmwambia sijapangia kuoa mapema.

Mbaya zaid ndan ya mwaka huu ulivyoanza mwaka ulianza vbaya ktk mapenz yetu tumeingia ktk huu mwak tukiwa tunaugomv me na yeye pili wazaz wake wanatak aolewe hla so na me wamemchagulia m2 wakumuoa dem akawaambia wazaz wak me uyu ndo atakaenioa c uyo m2 wenu mlionchagulia
hyo ikapelekea wazaz wak kuntafut na kuntxhia maixha wanatak niachan na bint yao la cvyo ntakuja kufanyiwa k2 kbaya ambacho cto kisahau katka maisha yangu (wataniloga) wakasema km kwenu kupo vzur bas jpangea daaaah apo kichwa kunhuma hatar.

kwnz nkafklia mtot wa wa2 namuwek matatan akfosiw kuolew anawez akafanya v2 vyatofaut mana alnambia nkiachan na we bc me ctopend tena na ctoolewa na m2 mwngn yeyot zaid yak we na km nkfosiwa kuolewa bas ntakachokuja kukfanya bas mungu ansamehe me nkamulza unatak kujhuwa akajbu sijui uend ikawa n hvyo au isiwe n hvyoo nkapgiwa simu kwa cku ya pili na wazaz wak wakiulza kijana upo vzur hii mala ya pil tunakuhulza nkawa kmya sikujbu k2.

Nikakta simu then nkazma cm cku mzma nkalal usiku nkaamka na jbu 1 tu 2 kaul ya kiume kat ya pesa na mapenzi bola nn nkapata jbu 1 pesa bola nkasema tena niacha mwanamke ati kisa nmetishiwa maisha nkasema frexh najpenda me na bado mdogo natafut pesa kwa nguv zang uyu dem c bos wang wala ajui kwa mwez napokea kias gan na wala ajui ugum wa kaz yangu ipo vp nkasema kw hasila NAKUACHA WE BINT km mala 3 iv basi sikuchelewa nkaend kwa wakal nkatia salio la buku mitandao yot dakk 130 nkapga cm 4 kw p1 kuanzi wazaz wa uyo bint,

Bint mwnyw kaka yak nkasema k2 k1 KUANZIA LEO UYU BINT SI MWANAMKE WANGU NAMUACHA NYIE MKIWA KM MASHAIDI KATIKA HILI TUKIO ksha nkamalza ivi lolote ltakalotokea me cpo na wala msinixhlkishe kwa lolote kuanzia hvy sasa na nkamuambia uyo bint usisubu2 kunpgia me tena coz si m2 wangu kuanzia ivy sasa nkakat sm dem akapga yeye aku akiwa analia na akisema umefanya kwel au umetania nkamjbu hyo n true kabxa.

Akaulza tena tulpnga nn ktk maish yetu nkajbu vng 2 nksema kla k2 knatokea kwa sababu nkamuambia anza maisha mapya ya kutokua na me hla naomba nsamehe kw kla klichotokea coz si kosa langu nmefosiw kufany hvyo ili kunusulu maixha yangu dem akalia sanaaaa uku aksema neno lake la mwsho kunambia ASANTE SANA. Everything happen for a reasons but a sametme a reasons is that you stupid and you make bad decision.
 
Mapenz ni kitu cha ajabu sana unaweza ukampenda mtu na usimjue alivyo. Ngoja niwape story wanangu kitu kilichonikuta me katika muhusiano na uyo dem.

Nimempenda dem kupitia njia ya simu kuwasilian tu mala whatsap vdeo call kutumian mapicha basi nikajikuta naingia katika mahusiano nae ndan ya miaka 3 tangu 2020-2022 mwaka huu ulivyoanza tu basi nimeachana uyo dem juzi tu apo km wik 1 nyuma.

Kiukwel tulipendan sana me na uyo dem mamb meng sana tumeyapanga katka maisha yetu alkuwa ana mtu wakumpa sapport ktk upande wake zaid ya kwangu mm so ikapelekea me nijbebesh kla shida ya uyo dem nifanye yangu kila anachokitak km kpo ndan ya uwezo wangu bas me nampa.

Ikafka stage dem akawa asikilizi familia yak zaid yangu me kila nnachomwambia me basi anansikilza anachoambiwa na familia yak alikuw n m2 mwenye kuvipotezea.sasa uyu dem alkuwa na tatzo moja tatzo hlo likanshangaza adi me uyo dem alkuwa na shetan (jini) ktk mwil wake uyo jini alkuwa n wakiume, pia uyo alzaa na uyo dem wang watot wawil swal la kujiulza me nlijuaj km uyo dem ana jin ktk mwil wake.

Ilkuwa hvy unajua si wanaume tunahisia mzto sana ktk kumbembeleza mwanamke unawez ukaish na dem bas ukawa una pesa,una nyumba,una gar,pia una kaz maalum lakn mtoto akakuelewa vzur 2 bc hvyo ndo nilivyokuwa me adi mtoto akanielewa.

Wakat ninapokuwa naongea uyo dem huku nikimbembeleza kwa maneno matam basi uyo jini wak alkuwa ni kiumbe mwenye wivu sana basi nikichukua muda mwing galfa kaja yeye kchwan na kuanza kunisonya mala anan2kana me hyo hal nikaishaangaa na kunyima aman kwanza dem npo nae mbal yeye yup mkoa mwngn na me npo mkoa mwngn na ata cku 1 cjawai kumuona ktk maisha na kla nnapongea nae bc hii hal ya jin wak lazma atokee ndan ya maika yot 3.

Sikuwai kumueleza m2 juu ya hil xwal ata kwa familia yangu bali mungu pekeee ndo aliekuwa anajua nikawa najiulza maswal au nmempenda jin lakn nikasema hapan si jin bal ni bnadam km me uyu.

Nkaja nkapata wazo nakamwambia natak nijuan na ndugu zak akukataa kwa kuw na yeye alpenda bas akuonesha kipingamiz kutak kujua na familia yake akanpa namba ya dada ake nikawasilia nae nikajtambulisha me ni nan npo vp na ndug yake akanjua mana alkuwa tayar alshaeleza kuhus me unajua uyu dem altak me nikamuoe kutoka na mazingira anayoish yeye si mazur kabis ila me nlmwambia sijapangia kuoa mapema 2025 ndo natak nioe bc nvumilie katka mpaka huo mtot akunga asee c kapenda lazma atakubal 2.

Mbaya zaid ndan ya mwaka huu ulivyoanza ngoja nicheke kwa uchungu huu mwaka ulianza vbaya ktk mapenz yetu tumeingia ktk huu mwak tukiwa tunaugomv me na yeye pila wazaz wake wanatak aolewe hla so na me wamemchagulia m2 wakumuoa me awantaka dem akawa anafoc akawaamboia wazaz wak me uyu ndo atakaenia c uyo m2 wenu mlionchagulia

Me bc hyo ikapelekea wazaz wak kuntafut me na kuntxhia maixha wanatak niachan na bint yao la cvyo ntakuja kufanyiwa k2 kbaya ambacho cto kisahau katka maisha yangu bonge la fedhea katika jamiiii inayonznguka me (wataniloga) wakasema km kwenu kupo vzur bas jpangea daaaah me apo kichwa kkaanza kunhuma hatar.

kwnz nkafklia mtot wa wa2 namuwek matatan akfosiw kuolew anawez akafanya v2 vyatofaut mana alnambia nkiachan na we bc me ctopend tena na ctoolewa na m2 mwngn yeyot zaid yak we na km nkfosiwa kuolewa bas ntakachokuja kukfanya bas mungu ansamehe me nkamulza unatak kujhuwa akajbu sijui uend ikawa n hvyo au isiwe n hvyoo me nkapgiwa simu kwa cku ya pili na wazaz wak wakiulza kijana upo vzur hii mala ya pil tunakuhulza me nkawa kmya sikujbu k2.

Nikakta simu nkazma cm cku mzma nkalal usiku nkaamka na jbu 1 tu 2 kaul ya kiume kat ya pesa na mapenzi bola nn nkapata jbu 1 pesa bola nkasema tena tena niacha mwanamke ati kisa nmetishiwa maisha nkasema frexh najpenda me na bado mdogo natafut pesa kwa ngum zang uyu dem c bos wang wala ajui kwa mwez napokea kias gan na wala ajui ugum wa kaz yangu ipo vp nkasema kw hasila NAKUACHA WE BINT km mala 3 iv nkasema ivyo basi sikuchelewa nkaend kwa wakal nkatia salio la buku mitandao yot dakk 130 nkapga cm 4 kw p1 kuanzi wazaz wa uyo bint,

Bint mwnyw kaka p1 na me mwnyw nkaongea kaul yang ya kiume KUANZIA LEO UYU BINT SI MWANAMKE WANGU NAMUACHA NYIE MKIWA KM MASHAIDI KATIKA HILI TUKIO ksha nkasema lolote ltakalotokea me cpo na wala msinixhlkishe kwa lolote kuanzia hvy sasa na nkamuambia uyo bint usisubu2 kunpgia me tena coz si m2 wangu kuanzia ivy sasa nkakat sm dem akapga yeye aku akiwa analia na akisema umefanya kwel au umetania nkamjbu hyo n true kabxa never back.

Akaulza tena tulpnga nn ktk maish yetu nkajbu vng 2 ila uku nksema kla k2 knatokea kwa sababu nkamuambia anza maisha mapya ya kutokua na me hla naomba nsamehe kw kla klichotokea coz si kosa langu nmefosiw kusema hvyo ili kunusulu maixha yangu dem akalia sanaaaaaaaaa uku aksema neno lake la mwsho kunambia ASANTE SANA akakat simu huk na me nksema naafut kla k2 cha uyu dem kwa simu yang natak nianz maisha mapya namsahau kabxa sita dem natak pesa km nngekuw napesa bs nsingeachana na uyo bint new life,new bessiness,new job uku nkiwa nasema everything happen for a reasons but a sametme a reasons is that you stupidy and you make bad decision.
Umeliwa pesa yako umepigwa.
Utoto huu ukikua utaacha. Sijamakiza nimeishia kati ila ni utoto na watu wengi tumeupitia ila ilikuwa enzi hakuna whatsapp sasa leo hii whatsapp ipo.
Yani umenichekesha sana.
Umepigwa vijisenti vyako wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom