God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
- Thread starter
- #21
duu mbona wa umri wangu ni baba now?basi na wewe subiri ukue kwanza
duu mbona wa umri wangu ni baba now?basi na wewe subiri ukue kwanza
Una Akili sana wewe mtoto.Kuna mdau kasema hata mama yako usimwamini huku ni kuwadharau na kuwashushia heshima mama zetu, mama waliotulea kwa shida na raha umeumwa amehangaika na wewe ulimfanyia kia aina ya madhila na bado akakustahmilia leo msiwaamini mtakuja kupata lana bila kujijua
Next time tafta alieenda age kidogo 18 yrs bado akili za kitoto zinamsumbua
#bailly's
Kama vitabu vitakatifu vishasema wewe utabisha wapi? achana na mawazo ya kibinadamu.Una Akili sana wewe mtoto.
Kwa hiyo ww unambishia Mungu alieviumba?Duuuh, hadi mamako mzazi mnafiki pamoja na kukubeba miezi tisa kwenye tumbo lake???asee wanaume ni viumbe wa ajabu na huwa hamna shukrani hata mfanyiwe jema gani bado mna roho ngumu mnoooo...Mungu awasamehe kwani hamjui mlitakalo.
Jinsi ya Kike haina umri msidanganyane.....basi na wewe subiri ukue kwanza
Kwa hiyo wewe mama yako humuamini kabisa? Au ulimaanisha nini kwa sentensi hiyoMkuu usiniquote tofauti inategemeana tunatofautiana katika uelewa, but all in all Do not trust a Woman.. Sasa kama wanawake wapo wa aina tofauti basi utaniambia..
Hata vitabu vitakatifu vimeelekeza ishini kwa akili sasa kama alitofautisha sijui
Pamoja na mama yako?Habari wadau wa mambo yetu pendwa.
Natumai wazima kabisa.
Bila kupoteza mda mda Nilikua na demu wa 18yrs nilimpenda sana na yeye alinipenda sana pia.
Tulidumu kwa miez kama miwili, tatizo la huyu mrembo alikua msiri sana, nilimuuliza yaliyokua yananimboa lakini kamwe hakuniambi hadi mimi kuchukua uamuz wa kumtema mara moja.
Huyu dogo aliwahi niambia hajawahi fanya mapenz kwa muda wa mwaka mmoja toka aachane na mpenzi wa awali. Hii ilinipa faraja sana kwani ni ngumu mwanamke kudumu kitambo chote hicho bila kunanihino.
Nilichokua kufahamu huyu mrembo alikua muongo yote alikua ananidanganya tuu.
Nilipomfuma basi ndo ukawa mwisho wa mahaba yetu.
Funzo nililopata kamwe usimuamini mwanamke kabisa hata akufanyie mema gani.
Ukitaka kujua namanisha nini soma kitabu cha mithali. Kuna mstari umeandikwa "Ishini na wake zenu kwa akili".
Kwa hayo maandiko nadiriki kusema wanawake wote ni wanafiki tuu hamna cha upendo wala nini.
Labda kasahau ni kitabu kipi cha Biblia lakini maandiko hayo yapo kweli kwenye Biblia wala hajakosea.Hakuna mstari wa kitabu cha mithali unaosema " ishini na wake zenu kwa akili"... We pia inaelekea huaminiki hausemi ukweli
True, akili kumkichwa tuKuna mdau kasema hata mama yako usimwamini huku ni kuwadharau na kuwashushia heshima mama zetu, mama waliotulea kwa shida na raha umeumwa amehangaika na wewe ulimfanyia kia aina ya madhila na bado akakustahmilia leo msiwaamini mtakuja kupata lana bila kujijua
Next time tafta alieenda age kidogo 18 yrs bado akili za kitoto zinamsumbua
#bailly's
Kwa hiyo wewe mama yako humuamini kabisa? Au ulimaanisha nini kwa sentensi hiyo
alikuwa kiakili haraka kuliko weweduu mbona wa umri wangu ni baba now?