miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
sawa tuJinsi ya Kike haina umri msidanganyane.....
sawa tuJinsi ya Kike haina umri msidanganyane.....
Yaani huyo kijana mkuu atakuwa ananyemelewa na chembechembe za laana maana hamwamini hata mama yake aliyemtunza tumboni mwake kwa miezi Tisa na kumlea hadi anapata utamu wa kugegeda na kuwadharau wanawake .It's bullshit!!Kuna mdau kasema hata mama yako usimwamini huku ni kuwadharau na kuwashushia heshima mama zetu, mama waliotulea kwa shida na raha umeumwa amehangaika na wewe ulimfanyia kia aina ya madhila na bado akakustahmilia leo msiwaamini mtakuja kupata lana bila kujijua
Next time tafta alieenda age kidogo 18 yrs bado akili za kitoto zinamsumbua
#bailly's
Aiseee siommbaya ni akili yakoAisee kusema ukweli simuamini zaidi ya kumuamini kwa kunizaa tu hahahahah Do not qoute me through your mind Najijua mwenyewe..
Watu wa aina hii ni kuwaangalia tuYaani huyo kijana mkuu atakuwa ananyemelewa na chembechembe za laana maana hamwamini hata mama yake aliyemtunza tumboni mwake kwa miezi Tisa na kumlea hadi anapata utamu wa kugegeda na kuwadharau wanawake .It's bullshit!!
Kweli masta, hv viumbe ni hatarE sana...DuuuuhNdio hivyo hawaaminiki...ishi nao kwa akili sana masta
huu uzi wa kitotoDEMU WA MIAKA 18 HIVI, MH Ngoja nipite
Swadakta, kiufupi alikua anadate na kasichana na sio mwanamke.Kuna mdau kasema hata mama yako usimwamini huku ni kuwadharau na kuwashushia heshima mama zetu, mama waliotulea kwa shida na raha umeumwa amehangaika na wewe ulimfanyia kia aina ya madhila na bado akakustahmilia leo msiwaamini mtakuja kupata lana bila kujijua
Next time tafta alieenda age kidogo 18 yrs bado akili za kitoto zinamsumbua
#bailly's
Xuuuuuuu![]()
![]()
![]()
Dada naona unajifariji baada ya kuguswa pabayaSi madume wala majike wotee si wakuwaamini

Aisee, hayo maneno ya mwisho makali sana, wakati mwingine usipate stress na mada za namna hii. Pengine umri wake unamruhusu kuandika haya. NB:- Hakuna mwanaume asiyemwamini mama yake labda awe mvulana.demu wa 18yrs unamuita mwanamke?
.
.
Kwahiyo ina maana matatizo yote kwenye mapenzi ni mwanamke anasababisha?
.
.
Nina wasiwasi hata mama zenu hamuwaamini. Hata baba zenu hawaamini mama zenu.
.
.
Wanaume muanze kuoana nyie kwa nyie. Kutwa kuanzisha mahusiano na watu mnaojua fika hawaaminiki.