Habari wadau wa mambo yetu pendwa.
Natumai wazima kabisa.
Bila kupoteza mda mda Nilikua na demu wa 18yrs nilimpenda sana na yeye alinipenda sana pia.
Tulidumu kwa miez kama miwili, tatizo la huyu mrembo alikua msiri sana, nilimuuliza yaliyokua yananimboa lakini kamwe hakuniambi hadi mimi kuchukua uamuz wa kumtema mara moja.
Huyu dogo aliwahi niambia hajawahi fanya mapenz kwa muda wa mwaka mmoja toka aachane na mpenzi wa awali. Hii ilinipa faraja sana kwani ni ngumu mwanamke kudumu kitambo chote hicho bila kunanihino.
Nilichokua kufahamu huyu mrembo alikua muongo yote alikua ananidanganya tuu.
Nilipomfuma basi ndo ukawa mwisho wa mahaba yetu.
Funzo nililopata kamwe usimuamini mwanamke kabisa hata akufanyie mema gani.
Ukitaka kujua namanisha nini soma kitabu cha mithali. Kuna mstari umeandikwa "Ishini na wake zenu kwa akili".
Kwa hayo maandiko nadiriki kusema wanawake wote ni wanafiki tuu hamna cha upendo wala nini.