Mwanamke haaminiki

Mwanamke haaminiki

Mtoto wa miaka 18 unataka uaminifu wake wa nini ungemgegeda tu then achape lapa
 
Unaongea hivyo kwasababu wewe ni mwanaume. Wanawake nao wanaona wanaume ni wasaliti. hiyo ni nature tu. lakini ukweli ni kwamba kwenye mapenzi usaliti upo pande zote. wanaume wanaumizwa na jinsia ya kike na wanawake wanaumizwa na jinsia ya kiume. rate ya kuumizwa na ukali wa maumivu ni ule ule.
Wanaume wanaumiza sana wanawake ni bac tu wanawake si walalamishi kama hao mijusi, unaweza kuwa na mme siku unakuja tambua ana malaya watatu kwa mpigo hembu ona kuna amina, noela ema, hapo mke maumivu gani mke anayapata hapo ni kutafuta mstaafu asuuze machozi yake tu.
 
Kuna m/mke tuliheshimiana kiasi kwamba siwezi kueleza nikamaliza hapa! Kifupi nilipokuja yumba kiuchumi siamini dharau nilizozipata kutoka kwa yule kipenzi changu cha rohoni! Sikutegemea na wala sijawahi kufikiria hivyo!
"do not beleave any woman, especially naked"
Ova
Pole mkuu.
 
Wanaume wanaumiza sana wanawake ni bac tu wanawake si walalamishi kama hao mijusi, unaweza kuwa na mme siku unakuja tambua ana malaya watatu kwa mpigo hembu ona kuna amina, noela ema, hapo mke maumivu gani mke anayapata hapo ni kutafuta mstaafu asuuze machozi yake tu.
Mkuu hata nyie mna mambo yenu. Kumbuka hata hiyo michepuko ni wanawake.
Kwa kifupi tuu ndugu hakuna wa kumwamini.
 
Habari wadau wa mambo yetu pendwa.
Natumai wazima kabisa.

Bila kupoteza mda mda Nilikua na demu wa 18yrs nilimpenda sana na yeye alinipenda sana pia.
Tulidumu kwa miez kama miwili, tatizo la huyu mrembo alikua msiri sana, nilimuuliza yaliyokua yananimboa lakini kamwe hakuniambi hadi mimi kuchukua uamuz wa kumtema mara moja.

Huyu dogo aliwahi niambia hajawahi fanya mapenz kwa muda wa mwaka mmoja toka aachane na mpenzi wa awali. Hii ilinipa faraja sana kwani ni ngumu mwanamke kudumu kitambo chote hicho bila kunanihino.

Nilichokua kufahamu huyu mrembo alikua muongo yote alikua ananidanganya tuu.
Nilipomfuma basi ndo ukawa mwisho wa mahaba yetu.

Funzo nililopata kamwe usimuamini mwanamke kabisa hata akufanyie mema gani.
Ukitaka kujua namanisha nini soma kitabu cha mithali. Kuna mstari umeandikwa "Ishini na wake zenu kwa akili".

Kwa hayo maandiko nadiriki kusema wanawake wote ni wanafiki tuu hamna cha upendo wala nini.
Mzee uliwajaribu wote
 
Wewe bado unawaamini... Hivi Samahani lakini wewe ni Mkristo au Muislam? Don't ever Trust a Woman na hata maandiko yamesema usimwamini ila Uishi nao Kwa Akili....

Jifunze kupitia Samson na Delila, Jifunze kupitia Adam na Hawa...

NEVER AND I REPEAT NEVER TRUST A WOMAN... HATA MAMA YAKO USIMWAMINI THE ONLY ONLY THING YOU COULD TRUST YOUR MOTHER NI KWA KUKUZAA TU THE REST DO NOT TRUST.
PUMBA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom