Mwanamke Booobaaaa.....πŸ‘©πŸ½β€βš–οΈπŸ‘©πŸ½β€πŸ«πŸ‘©πŸ½β€πŸ³ πŸ’ͺ🏽

Mwanamke Booobaaaa.....πŸ‘©πŸ½β€βš–οΈπŸ‘©πŸ½β€πŸ«πŸ‘©πŸ½β€πŸ³ πŸ’ͺ🏽

Viijanaa waa siku hiizii maridadi saaana maridadi saanaa.

Baange mfukoni, sigara mdomoni... lakini hawana akili kichwaniii .....( za kuishi na mwanamke)
NB: huo ni wimbo nimeukumbuka man nimeuimba, no offense to anyone.

Maridadi saana maridadi saanaa....

Kasie Matata Mahaba. [emoji56]

Hahah I know the song....and that makes two of us!!!

Wimbo wa zamani sana huu, umeweza kukumbuka hadi tungo zake!!
 
Hahahaha na usipungue
Kama ni mnene ongeza manyama

Sent from my SM-G570F using Tapatalk


Hehehehehehehee sipungui hata theluthi kuongezeka ni juhudi zangu tuu, cha muhimu niko mwepesi na naenda kokote nnakopelekwa kwa raha za Dadii hahahhaa

K' Matata.
 
Hehehehehehehee sipungui hata theluthi kuongezeka ni juhudi zangu tuu, cha muhimu niko mwepesi na naenda kokote nnakopelekwa kwa raha za Dadii hahahhaa

K' Matata.
What a lucky guy he is


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kadaa kameingia kwenye website ya Shutterstock kamedownload picha kawazingue hapa wapo maboya wataingia kingi inbox maana tarehe za mishahara ndo hizi.!

Sent using Jamii Forums mobile app



Hahaahahahahahaaahahahah

Ukistukia issue unakausha.....

Sensema malunde sensema sensema.

Wachache sana wanaomuelewaga Kasie, and I love that.
 
Walaah siko kwenye kundi la watu slim. Nna nyama zangu za haja sema sijafika XXXL hehehehhee
Hiyo avatar yangu niko hivohivo, sasa Pata picha mtu mwenye mashavu yake..... Na mwili nao umenona Heheheee.

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ naamini kbs shemu Dadii anakufaidiiiπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹...!πŸ˜…πŸ˜…βœŒβœŒβœŒ
 
Back
Top Bottom