Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,719
Jamani kuna wengine chubby tunawapenda zaidi
Hata Oprah Winfrey alipofanya diet na kupungua washabiki walipungua sana
Waweza amini?
Wanene oyeee
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
πππππͺπͺπͺπͺbora mtupe moyo kupungua inahitaji ujitoe akili na hisia..!mm nikikonda had jiran anasema hujui tu..unachukiza..khaa ngoja tule tu kwakwel..uzuri no nyama uzembe