Nilijua tu,maana nimeona maandishi yanatetemekaHahahahaha nah
Niko na glass ya lemonade bandika bandua....
Sensema Kalunde sensema sensema ππ½ππ½ππ½ππ½
Ebanaeeee
Sensema malunde sensema, sensema...
Sijui ndio hivi.. Nilikuwa namskia marehemu bibi akiimba na kina mama..
Sent using Jamii Forums mobile app
hv huyu amechanganya eh..mzuri sema na camera zinambeba na mamekapπ ..Asante kwa niaba yake, kachanganya damu basi anaturingiajeee...
Hahahaha na usipungueSiko kwenye mkumbo wa kupungua aiseeh. Nna KPI ya kuongeza kilo 5 kabla ya Dec....
Sensema Kalunde sensema sensema [emoji1437][emoji1437][emoji1437]
.ww ni slim ?Siko kwenye mkumbo wa kupungua aiseeh. Nna KPI ya kuongeza kilo 5 kabla ya Dec....
Sensema Kalunde sensema sensema ππ½ππ½ππ½
πππ hv mbn unapenda waniene hvyo hahaha whyHahahaha na usipungue
Kama ni mnene ongeza manyama
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hivi kumbe yanaleta njaa eh..Ila jamani matunda yanaleta njaa!mm nikila.matunda as kupungua mwili unakuwa nyonde kweli...!
Hivi kumbe yanaleta njaa eh..
Sanyingine hua nafikiria nina shida kumbe siko peke angu
Sent using Jamii Forums mobile app