Bado saaana sisy
ππππββββHahahahahhahahahaaaa
Kuna mtu leo tulikuwa eneo moja la tukio asubuhi, mie nilimuona ile yeye hakuniona.
Baadae nampigia simu namwambia nilikuona..... Aahahahahhaaa kani mind.....
Baadae ntampigia nijitetee Kuwa uzee Ndo ulisababisha sikumsalimia yaani nilimuona halafu nikasahau Kuwa natakiwa nimsabahi hehehehehe halafu wewe unasema bado sana looh.
50 mwakani yaani..... Kama mchezo paap mvi za maeneo..... Hehehehhehehee
K' Matata.
Nawapenda sana Wasichana wenye macho kama haya ya huyu mtoto...huwa wananimaliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani niko high mnooo, DJ atapata tabu sana leo usiku pale 24.....
Japo kucheka na tabasamu ni kawaida ya Kasie.
Sawa boss leideySitumii chupa, natumia kilauri. Kwa kuzihesabu hizo ni moja tuu sema kuubwaaa hehehehehehee.
Sensema malunde sensema sensema.
π π π π aisee. Afu kweli.Hahahahhahahahahaa na hamuwezi kunenepa maana wanawakausha damu hehehehehehee.
Na kasie matata alikuwepo.. Wape mbege kabisa waje nazo huku hazipatikani..Hahahahahahahahaa ngoja tuu niimbe sasa, mareale alikuwepo, mama manka alikuwepo, rafaeli alikuwepo na makaveli nae alikuwepo heehehehehehehee
Tuko pamoja....
Kasie Motooo Matata.
Hahahahahhahahahaaaa
Kuna mtu leo tulikuwa eneo moja la tukio asubuhi, mie nilimuona ile yeye hakuniona.
Baadae nampigia simu namwambia nilikuona..... Aahahahahhaaa kani mind.....
Baadae ntampigia nijitetee Kuwa uzee Ndo ulisababisha sikumsalimia yaani nilimuona halafu nikasahau Kuwa natakiwa nimsabahi hehehehehe halafu wewe unasema bado sana looh.
50 mwakani yaani..... Kama mchezo paap mvi za maeneo..... Hehehehhehehee
K' Matata.
Wewe kabla ya kukumatiplai inabidi nikusimplifai kwanza!! Kisha nawe nakumatiplai bai eksi swead ili twende parale!!Hahahahahahhahahahaha mchokozi weewee.....
Na mimi umenimaltiplai bai wati??!!! Heheheheheheh
Kasie Matata.