Kila nikiona post zako heart beat sijui bit sijui air hostage zinaenza kasi sanaIla jamani matunda yanaleta njaa!mm nikila.matunda as kupungua mwili unakuwa nyonde kweli...!
View attachment 1058190BobaeeeeeeeeeeeeeboBaa!
Umenikumbusha na ile taarabu isemayo,
kipendacho roho, hula nyama mbiichi, hapo kuna kibiti kinapita, kisha wanasema..
Ni langu chaguo..
Kumbukumbu zimeanza kunitoka mpenzi wangu sijui kundi gani lilishusha mistari adim kama ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa.. Ondoa shaka mzee mwenzangu, tuberculosis analeta kifua kikuu ila yeye haumwi..
Utu uzima dawa mzee mwenzangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dua atakuombea kesho asubuh pombe zikiwa zimemtoka.. Dua ya sasa itakuwa na impurities kibwena.Bila hiyana amepata.
Kuwa amani zaidi ya yule amani wa bara zenji.Asante kunihakikishia....
ulipotea wewe sasaHahahahahahaa yaani mnuno ndo unaongezeka, new year leo..... Almost April looh.......
Aku sitakiiiiii, menunaaaa.
K' Matata.
Hahahahaha nah
Niko na glass ya lemonade bandika bandua....
Sensema Kalunde sensema sensema [emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437]
ngoja kwanza..Nenda kaangalie last call utaona....
hahahahaha...test zali....Utaweza kuvumilia...???!!
Usije ukaomba poo tuu, makirikiri yakianza hayapoi hadi simbi zikatike na kuvunjika....
Sensema malunde sensema sensema.