Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Ila kwa upande wa pili kiukweli wanawqke wengi hudanganywa na hujinasa kiulaini...ni marafiki xangu hata beer hawawezi kijinunulia ila nikiita demu namwambia ukweli hana mda na mimi ila wenzangu wakianza kumdanganya kilaini tuu anachikok mbaya zaidi mi ndie tena nagaramia anakukuja kugundua alipojikok kumbe sio
 
Mkuu naona unachanganya mapenzi na siasa.
Nijuavyo siasa ndio uongo lkn mapenzi ni ukweli na uaminifu. Lkn inategemea perception yako ktk mapenzi, chochote chenye msingi wa ukweli kinadumu lkn msingi wa uongo ni dhaifu.

Vv
 
Wanaume banah
Huwa tunajitoa ufahamu tuu lakini sio kwamba huwa hatujui uongo na ukweli, palipo na ukweli uongo hujitenga, sema ukikutana na mwanaume muongo huwa ni raha sana maana unamchora at end unamtolea nje ndio wale hugeuka kuwa maadui kwasababu ya ujinga wao wa kuhalalisha uongo uwe ukweli, mtoa mada acha kupotosha wenzio utawakosesha mazuri.
Nakupenda saana Ney
 
Mkuu heading ya post ni kuhusu uongo,na nilichoongea hapo ni uongo
Au wewe ushaona smile tamu kama strawberry??
Karibu JF

Ooohhh Akikubali je! Awa viumbe wenyew si unasikia wanapenda uongo,anakuja jini chura chura!!! lazima usahau jinsia yako
 
uongo sio mzr mdo mana hata kwny ten command of lord umekatazwa sema ukweli
 
  • Thanks
Reactions: SDG
yaaa bila uongo hupati kitu,kuna best yangu hapa chuo alpata mtt mkali,akamdanganya yupo NMB demu hakuamn kwa bahat hyo ,akamwambia mbaka nikuone unatoka ofisini kweli ndio tutafanya sex,,jamaa akamwambia nipo likizo fupi,demu akaingia lingi jamaa akala mtt mkali then bye bye
 
Uongo siku zote una mwisho. Kwa hiyo ukimpata mwanamke kwa kumdanganya, siku akijua hata ufanye nini hata elewa. Of course, sometimes inabidi kudanganya ila si kwa kiwango cha juu. Mfano, mtu anaazima gari la mtu ili ampate mwanamke fulani. Hilo linakuwa bonge la kosa
 
Uongo kwa matumizi ya muda, itakusaidia lakini kwa matumizi ya kudumu utaaibika tu!
 
Back
Top Bottom