Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
- Thread starter
- #21
Kutokuchacha muhimu mkuuBandle la uongo lazima liwe HALICHACHI
Kutokuchacha muhimu mkuuBandle la uongo lazima liwe HALICHACHI
Wengine bado wanajipa moyo kwa hawa viumbeUpo sawa
Jiunge halichachiNitarudi mkuu bundle linataka kukata
Najua utakuwa umepokea vya uso vingi kuliko kukubaliwaKati ya vitu ambavyo siviwezi ni kusema uongo mimi naweka option zote on the table aamue mwenyewe
Mara nyingi mnakuja kujua ukweli kama ni mpira basi hapo ni dk 93.we danganya wenzako aliekwambia huwa hatujui tukidanganywa nani? Ni vile tu tunajitoa ufahamu ila tunajua vizuri kuchuja pumba na mchele![]()
Ha ha ha mkuu hii assumption kali sanaUongo wenye manufaaa...... Huo hata huko juu hauhesabiwi.
Unajua haya mambo kama hujawahi kufanyiwa au kufanya unawez bisha ila huo ndo ukwel hongera san mtoa maadaHabari za jioni wote naona na weekend ndio kama vile inafumbua macho. Poleni na shughuli za week nzima katika kupiga na kukimbizana na pesa
Niende moja kwa moja katika mada tajwa hapo juu.
Hapa washikaji mtanielewa sana kwa hawa wanawake kama mnauzoefu. Na kwa ambao hamjui basi itakuwa poa sana kupata maujanja.
Mwanamke bila kumdanganya hapo ujue huna kitu yani hivi vichwa vyao nahisi kama vina NEGATION factor /COMPLEMENT factor.
Time unaenda kutema madini hakikisha unabundle zuri la uongo hakikisha unatema madini vizuri ila ukijifanya unafunguka ukweli hapo yeye ndio anakuona boya kama unamdanganya tu kwake kichwa chake huwa kina pindua ukweli nakuona uongo ila ukitema sumu za uongo ujue yeye kwake anapindua uongo na kuwa ukweli na unajikuta unakula tunda kiulaini kabisa.
ILA wewe nenda na ukweli utaona cha moto huko.
Pia ukienda na uongo pamoja na ukweli hapo ujue unatengeneza complicated relation tu maninja.
Wakuu unaweza kuongeza ma skills uliyokutana nayo katika mihangaiko ya hapa na pale.
HINT:ukidanganya hakikisha unadanganya kweli kweli no retreat no surrender ukijichanganya hapo tu ukaona huruma uanze kumwambia ukweli ujue ndege si wako tena.

Hapan bhn ebu kuwa mkwel tuSema ukimpata kwa Kumdanganya katika kipindi chote cha Mahusiano utaishi 65% maisha Feki....
hakuna mwanzoni tu.Mara nyingi mnakuja kujua ukweli kama ni mpira basi hapo ni dk 93.
Mbona tukisema uongo papuchi tunajikuta tunaletewa hadi nyumbani.Wanaume banah
Huwa tunajitoa ufahamu tuu lakini sio kwamba huwa hatujui uongo na ukweli, palipo na ukweli uongo hujitenga, sema ukikutana na mwanaume muongo huwa ni raha sana maana unamchora at end unamtolea nje ndio wale hugeuka kuwa maadui kwasababu ya ujinga wao wa kuhalalisha uongo uwe ukweli, mtoa mada acha kupotosha wenzio utawakosesha mazuri.
Nimeanza kuelewa nini tena?Kama umeanza kuelewa ivi...kaka endelea kushusha vifungu takatifu ataelewa tu...
Mkuu kunawengine usipofunguka anaona kama mpo kwenye drama za kikorea mara unaishia kuhudumia tu. (Huku wanaitwa washika mapembe)Siku izi mbona kuna kutongozana tu?? Guess am getting too old
Kama umevutiwa na mtu unaanzisha ukaribu nae, dinner za uongo na kweli, vizawadi vya hapa na pale, kama kuna chemistry kati yenu mambo yatajipa tu
Ila kumbananisha mtu chemba kumpa mamistari mi kwangu naona kama utumwa tu, there are better ways of letting a girl know you are in for her!!
Jitie moyo Dada ila nikupe polewe danganya wenzako aliekwambia huwa hatujui tukidanganywa nani? Ni vile tu tunajitoa ufahamu ila tunajua vizuri kuchuja pumba na mchele![]()
Kama ilivyo demu inabidi umdanganye ili umgegede mwanaume yeye udhaifu wake upo kwenye kuona ndo maana wanawake wanaweka make up shida itakuja ukweli umejurikana na ile make up imeondolewa weeeHabari za jioni wote naona na weekend ndio kama vile inafumbua macho. Poleni na shughuli za week nzima katika kupiga na kukimbizana na pesa
Niende moja kwa moja katika mada tajwa hapo juu.
Hapa washikaji mtanielewa sana kwa hawa wanawake kama mnauzoefu. Na kwa ambao hamjui basi itakuwa poa sana kupata maujanja.
Mwanamke bila kumdanganya hapo ujue huna kitu yani hivi vichwa vyao nahisi kama vina NEGATION factor /COMPLEMENT factor.
Time unaenda kutema madini hakikisha unabundle zuri la uongo hakikisha unatema madini vizuri ila ukijifanya unafunguka ukweli hapo yeye ndio anakuona boya kama unamdanganya tu kwake kichwa chake huwa kina pindua ukweli nakuona uongo ila ukitema sumu za uongo ujue yeye kwake anapindua uongo na kuwa ukweli na unajikuta unakula tunda kiulaini kabisa.
ILA wewe nenda na ukweli utaona cha moto huko.
Pia ukienda na uongo pamoja na ukweli hapo ujue unatengeneza complicated relation tu maninja.
Wakuu unaweza kuongeza ma skills uliyokutana nayo katika mihangaiko ya hapa na pale.
HINT:ukidanganya hakikisha unadanganya kweli kweli no retreat no surrender ukijichanganya hapo tu ukaona huruma uanze kumwambia ukweli ujue ndege si wako tena.

Ubarikiwe sana!Kati ya vitu ambavyo siviwezi ni kusema uongo mimi naweka option zote on the table aamue mwenyewe
Hiyo ni ajali kazini mkuuTatizo moja nililogundua katika kudanganya katika mahusiano, ni kwamba utaishi kwa matezo zaidi maana hutoishi katka uhalisia wako kama umempenda na una malengo nae mweleze ukweli ili uishi ukiwa huru.. Kuna jamaa yangu alidanganya kuwa ana maisha mazuri siku moja demu akatoka mkoani kwa kumshutukiza jamaaa kilichomkuta jamaa nitakuja kumalizia kesho
Good point mkuuSio kosa lao wamerithi toka kwa bibi yao Hawa pale bustanini Eden,toka alipoamini na kuvutiwa na uongo wa shetani ndo karithisha tabia mpaka leo.