Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Khe kheeeeeee kheeeeeee mzima Mkuu lol! Nasikia hata jina lako husahau pia kwi kwi kwi usijiite tu wa Kolomije lol! 😛😛

Acha tu mpendwa nikikuona nasahau password yangu... Nachoshukuru tu niliiandika kwenye diary.
 
Kati ya vitu ambavyo siviwezi ni kusema uongo mimi naweka option zote on the table aamue mwenyewe
Umekuja kufanya nn huku wewe si ulikua kule kwa prophet wako mkuu jiandae bado dakika chache ifike saa nne
 
Huwa nawadanganya ila ni kwa ule uongo ambao najua kamwe hawezi kuujua ukweli wake maisha yake yote.
Mfana... Akiniuliza kuwa ulishawahi kuwa na wapenzi wangapi? Namwambia idadi ambayo kamwe hatoniona kicheche kulingana na umri wangu kwani najua hatoweza kuwatafuta na kupata ukweli wa idadi kamili ya wapenzi niliopitia
 
Akikuuliza una watoto wangapi unajibuje?Wanaume wengi hawapendi kulisikia hili swali.
 
Sio lazima umdanganye, wanawake wanapenda creativity. So ni vyema zaidi kutumia ubunifu ili kufikisha ukweli kwa njia inayovutia kusikilizwa. Women are delicate creatures, need to be handled with care. Sasa ukija na naked truth, daa. Lazima wakukimbie.
 
Akikuuliza una watoto wangapi unajibuje?Wanaume wengi hawapendi kulisikia hili swali.
Kama ninao namwambia ila nitamwambia baada ya kumtia maana nikiwahi sitompata na nikishampata tu hapo hapo namwambia akisema uliniambia huna mtoto namwambia ulininukuu vibaya
 
Back
Top Bottom