Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Lazima uwe unamwaga na HABAR NYEPES NYEPES
 
Kinachofanyika sio kwamba hatujui kwamba tunachezewa keusi na kekundu ni vile tu tunaona tunaweza kuwabadilisha tunasahau nyie watu ni kama nyama ya kota hata uipike vipi hai ivi.
Mbona tukija na ukweli tunaangukia pua tu.
 
Kwa jinsi tu username yako ilivyo nzuri nahisi wewe ni zaidi ya mrembo.
Nahisi smile lako ni tamu kama strawberry.
Kama upo Dar naomba weekend hii twende bagamoyo tukapunge upepo!
Usijali kabisa hata mimi napenda kupunga upepo but in one condition gharama zote zitakuwa juu yangu, nina imani nikifanya hivyo uongo utauacha kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Mbona tukisema uongo papuchi tunajikuta tunaletewa hadi nyumbani.
Ipo hivi mkuu,sometimes huwa tunavutiwa na vitu vingi mfano rangi yako or body or usmart ulionao in physical appearance hali ya kuwa umeshajulikana ni muongo ila kuna kigezo kimoja kimekubeba lakini sio kwamba umepelekewa papuchi sababu ya uongo hapana, au vilevile unaweza usiwe na kigezo chochote chakunishawishi ila nikapenda pafyum yako
 
"Nitasema kweki daima, uwongo kwangu mwiko," ahadi ya mwana TANU.

Ukweli unaweka watu huru, heri kukataliwa kwa kusema kweli kuliko kukubaliwa kwa kudanganya. Mapenzi yenye msingi wa uongo siyo ya kweli na hayadumu.

Vv
 
Usijali kabisa hata mimi napenda kupunga upepo but in one condition gharama zote zitakuwa juu yangu, nina imani nikifanya hivyo uongo utauacha kwenye vijiwe vya kahawa.

Sipendi kuhudumiwa na girls wala kufanya nao cost sharing,napiga one man show tu
 
Ipo hivi mkuu,sometimes huwa tunavutiwa na vitu vingi mfano rangi yako or body or usmart ulionao in physical appearance hali ya kuwa umeshajulikana ni muongo ila kuna kigezo kimoja kimekubeba lakini sio kwamba umepelekewa papuchi sababu ya uongo hapana, au vilevile unaweza usiwe na kigezo chochote chakunishawishi ila nikapenda pafyum yako
Wanaoangukia pua vipi au huwa wanajing'atang'ata
 
sawa boss, hata akinifumania akiniuliza ni ww mme wangu?, namuambia hapana utakua ume wrong, half atajipindua ataona n ukweli.
 
reitakuwat: 20784409 said:
sawa boss, hata akinifumania akiniuliza ni ww mme wangu?, namuambia hapana utakua ume wrong, half atajipindua ataona n ukweli.
Mkuu hapo utakuwa na kichaa sasa sio mke huyo
 
Kati ya vitu ambavyo siviwezi ni kusema uongo mimi naweka option zote on the table aamue mwenyewe
Hata mi yani for sure huwa nikimtongoza mwanamke nakuwa na huruma sana nae yani kiongoppq nashindwa coz namuona kama kiumbe daifu tena nikidanganye aise hapana bora aaninyime tuu
 
Kwaio akikudanganya na ww ukimdanganya, kiswahili sahihi n mnapinduana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
"Nitasema kweki daima, uwongo kwangu mwiko," ahadi ya mwana TANU.

Ukweli unaweka watu huru, heri kukataliwa kwa kusema kweli kuliko kukubaliwa kwa kudanganya. Mapenzi yenye msingi wa uongo siyo ya kweli na hayadumu.

Vv
Mkuu naona unachanganya mapenzi na siasa.
 
Back
Top Bottom