Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Siku izi mbona kuna kutongozana tu?? Guess am getting too old

Kama umevutiwa na mtu unaanzisha ukaribu nae, dinner za uongo na kweli, vizawadi vya hapa na pale, kama kuna chemistry kati yenu mambo yatajipa tu

Ila kumbananisha mtu chemba kumpa mamistari mi kwangu naona kama utumwa tu, there are better ways of letting a girl know you are in for her!!
Hiyo kwenye red ipo kwenye BANDO YA UWONGO,UWONGO SI MANENO TU
 
Wewe mwenyewe Kichwa Kichafu lazima udanganye tu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hizo skills za kujua au kung'amua kuwa mnadanganywa ni kweli mnazo sana,lakini japo mnajua mnadanganywa still mnaelekea KIBLA
Kweli sana mkuu ila ukikurupuka na ukweli
 
Back
Top Bottom