Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Siku izi mbona kuna kutongozana tu?? Guess am getting too old

Kama umevutiwa na mtu unaanzisha ukaribu nae, dinner za uongo na kweli, vizawadi vya hapa na pale, kama kuna chemistry kati yenu mambo yatajipa tu

Ila kumbananisha mtu chemba kumpa mamistari mi kwangu naona kama utumwa tu, there are better ways of letting a girl know you are in for her!!

Yani umeongea cha maana kuliko kawaida.kuna marafiki zangu wawili wanaume nilishawapaga hayo mapini mpka sasa wameoana.

Aise hakuna mahusiano ninayoyapenda mwanzo wake kama haya aise!!

Nilibahatika kumpata mmoja halooooo kwa style hiyo,,mama yangu kuna vitu tulishawahi kuvifanya wakati tunaianza hiyo safari kwa style hiyo sitokuja kuvisahau kamwe I tell you

Kila nikivikumbuka nasisimkwa nabaki hoi kabisaaaaa,,sasa ndo nikutane na mtu anaanza kuniimbisha songi zake akati nazikumbuka hizo moments au nakuona kituko cha makumbusho.labda nikupende mwenyewe aise ndo nitaelewa

Kama kuna mwanamke alishawahi kufanyiwa ataungana na mimi %jero aiseh.

Baadhi ya wanaume acheni maneno aiseh..tumien hii njia mtakuja niambia kweli tena.maana wanawake wengi wang wanapenda sana hiyo kitu ingawa kuna wengine watasema ohoooo mimi hela tu...,mara sijui nini uongo mtupu..ukiona ang'ang'ania sana hela jua anataka lift ya kumsogeza kwenye maisha fulani hvi nae aonekane lkn nyuma ya pazia kuna mwanaume mwingine atakuwepo nae tu.
 
Habari za jioni wote naona na weekend ndio kama vile inafumbua macho. Poleni na shughuli za week nzima katika kupiga na kukimbizana na pesa
Niende moja kwa moja katika mada tajwa hapo juu.
Hapa washikaji mtanielewa sana kwa hawa wanawake kama mnauzoefu. Na kwa ambao hamjui basi itakuwa poa sana kupata maujanja.
Mwanamke bila kumdanganya hapo ujue huna kitu yani hivi vichwa vyao nahisi kama vina NEGATION factor /COMPLEMENT factor.
Time unaenda kutema madini hakikisha unabundle zuri la uongo hakikisha unatema madini vizuri ila ukijifanya unafunguka ukweli hapo yeye ndio anakuona boya kama unamdanganya tu kwake kichwa chake huwa kina pindua ukweli nakuona uongo ila ukitema sumu za uongo ujue yeye kwake anapindua uongo na kuwa ukweli na unajikuta unakula tunda kiulaini kabisa.
ILA wewe nenda na ukweli utaona cha moto huko.
Pia ukienda na uongo pamoja na ukweli hapo ujue unatengeneza complicated relation tu maninja.
Wakuu unaweza kuongeza ma skills uliyokutana nayo katika mihangaiko ya hapa na pale.

HINT:ukidanganya hakikisha unadanganya kweli kweli no retreat no surrender ukijichanganya hapo tu ukaona huruma uanze kumwambia ukweli ujue ndege si wako tena.
Kiwembe na kicheche hawa sawa maana akili zao ni moja na baba yao ni mmoja.kwa wale wenye wito wa ndoa Ukweli asilimia mia unahitajika
 
Kwa hiyo mleta mada, ukienda na daladala mwambie umeacha Benz home!
Bahati mbaya utajikuta una cheti cha uongo yeye ana PHD.
 
Usicheke,sijawahi kusikia umedata,lakini leo umejilipua,kwa vile we huwaga mstaarabu,
huyu binti asituangushe,akuheshimu na yeye. Yawezekana tayari umekuwa sasa
Kuna mtoto mmoja kanishika mkuu... akinikuta huku atakinukisha hatarii...sema yupo cool
 
Kuna mtoto mmoja kanishika mkuu... akinikuta huku atakinukisha hatarii...sema yupo cool

Daby,naomba uende kagera uniletee ng'ombe wawili na fahari wa tatu.
Ndo heshima irudi,yaani wewe unataka mwanangu Colieta umchezee akili?
Tobaaaaaa,piga magoti uombewe leo umeingiwa na pepo la uz********.
 
Daby,naomba uende kagera uniletee ng'ombe wawili na fahari wa tatu.
Ndo heshima irudi,yaani wewe unataka mwanangu Colieta umchezee akili?
Tobaaaaaa,piga magoti uombewe leo umeingiwa na pepo la uz********.
 
Ninachojua mpaka sasa si kweli kwamba wanawake wanapenda kudanganywa ila factor kubwa ni yeye atakavyokuchulia ww na pia kama chemistry imeivana,mi naamini kwa mwanamke smart mpaka anakukubalia kulala na wew jua fika kuna kitu kavutiwa nawe wala si uongo wako au ukweli wako ndio vimemfanya kakupenda... "Wanawake ni viumbe wa ajabu sana duniani nadhani ni Mungu pekee aliyewaumba ndio anawajua vizuri "mfano kuna jamaa yupo mtaani ana maisha mazuri kiukweli na kuna mdada ni mkali anatumia njia zote kumpata na hampati lakini behind kuna dogo tu hana lolote anatafuna mzigo kilaini tu!asee wanawake noma unaweza usijue wanataka nini na hawataki nini... Kwao maisha ni vile yanavyokuwa kwake sawa tu
 
Back
Top Bottom