Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Muwe na vyanzo vya kipato, dunia ya sasa kuomba au kutegemea kupewa ni kujidhalilisha. Mtu akupe kama bonus ila isiwe hata vocha ya 5k tu mtu unahaha.

Mume ana wajibu ila mpenzi hapana, msijishushe sana, vanyeni kazi ni zama za kibepari.
Unadhani hatuna ndugu?tunajishughulisha
Ila point ni kuwa kwann niombe? Mtu ajue wajibu wake sio nimuombe
 
Yule alikuwa anajua napata hela ila hajawahi kujua ni kwa kiasi gani. Nilivyombwaga alituma hadi marafiki zake kuokoa jahazi lakini wapi. Sina bahati ya kukutana na wapiga vizinga ila huyu ni moto wa kuotea mbali ila ni pisi kweli ni kazuri kila idara shida ni akili tu hamna anawaza kuvaa kupendeza
Kubabake 🤣
 
noma sana,

mimi alikua ananiamsha asubuhi na call au msg baada ya hapo inafata mizinga aah nikawa nampa kidg au sometimes namwambia sina anakasirika kubwa kuliko alitaka nimununulie simu ya 700k nikakwambia sina hela ukatokea ugomvi nikakwambia wewe kwenye hio lak 7 unashingp nikuongezee anasema hana nikampiga swaga hilo tukalipotezea sikununua..

Tho alivyokimbia nilifurahi sana.
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom