Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Yani wewe ni kama huyu haombi kuna siku nilimuuliza mbona huniombi hela. Akajibu sasa niombe yanini na unanipa siku usiponipa natumia akiba ya ulizowahi kunipa. Tunaishi maisha ya kawaida na she is very happy. Sio wengine kila siku wanataka kula kuku
Ewaaa hayo ndo maisha
Sio kila siku nikuombe
Mi siwezi

Unajua naenda saluni, mi nitakuaga ila pesa siombi..
Yaani nitakupa taarifa ila siombi pesa inachosha
Bora nife na shida zangu🤣
 
Back
Top Bottom