Hiyo emoj ina maana gani?Kuna haja ya Maxence Melo kuongeza hii emoj "😒"
God did!!Ewaaa hayo ndo maisha
Sio kila siku nikuombe
Mi siwezi
Unajua naenda saluni, mi nitakuaga ila pesa siombi..
Yaani nitakupa taarifa ila siombi pesa inachosha
Bora nife na shida zangu🤣
Mkeo kapata mumeWa kazi gani?Bia ndiyo mchepuko wangu mpendwa.
Au sio nisije kuwa nachst na gen z hapa 🤣🤣Hilo lisikupe tabu na halina impact kwenye mapenzi yetu chimam
NimegunduaUNAPODATE MWANAMKE AMBAYE NI ASSET KWENYE MAISHA YAKO ,
Utakuwa unapata message za aina hizi. 😂😂
(1) Habari za asubuhi mpenzi. Nafurahi ulilala salama. Ukoje leo? Amka ujiandae kwenda kazini. Usisahau kutuma maombi ya ile kazi niliyokwambia jana, na hakikisha unajisitiri vizuri na hali ya hewa .
(2) Mpenzi, nimekumiss sana. Natumaini siku yako itakuwa nzuri. Mimi naelekea kwenye kikao. Tutaongea baadaye, jitunze. Nakupenda.
(3) Ndio mpenzi, nipo dukani nanunua mahitaji ya nyumbani. Wakati mwingine nitakuja na wewe.
(4) Usijiwekee presha mpenzi wangu. Najua utafikia malengo yako. Una msaada wangu wote.
(5) Usisahau kusali kabla hujatoka nyumbani. Kumbuka nguvu zetu ziko kwa Mungu. Nipigie ukiwa tayari kwa maombi ili tuweze kusali pamoja mtandaoni kama utahitaji.
(6) Habari mpenzi, umesharudi kutoka kazini? Siku yako imekuwaje? Natumaini haikuwa ya kuchosha sana. Sasa kunywa kahawa kidogo halafu kaoge upumzike.
(7) Habari za jioni mpenzi. Nilitaka tu kujua una mipango gani kwa ajili ya wikendi yetu.
UNAPODATE MWANAMKE AMBAYE NI MZIGO KWENYE MAISHA YAKO (LIABILITY). 😂😂
(1) Baby itumie elfu kumi haraka.
(2) Habari mpenzi, nakuja kwako tule pizza mchana. Halafu kuna mtu anauza mafuta mazuri, naweza kuchukua moja tafadhali? Nakupenda sana.
(3) Hey handsome, ninunulie data. Pia jirani yangu anauza skinny jeans, viatu vizuri vya Marekani na nywele za Brazilian. Utanijulisha ukiwa tayari kuninunulia hivyo. Nakupenda sana.
(4) Sina nguo ya kuvaa, na marafiki zangu wana birthday wikendi hii Life Power. Ijumaa lazima tuhudhurie zote.
(5) Baby, sijisikii kuongea, tuchat tu.
(6) Mtoto wa Dada angu amemeza sh 50. Nitumie 100k haraka, nikamcheki hospitali.
Mwanaume mwenye busara atachagua kumuoa mwanamke ambaye ni asset kwenye maisha yake, sio Liability.
BINTI
Kama unajiuliza kwa nini wanaume wanakuacha, jiangalie kwanza. Huenda baadhi ya tabia zako zikawa zinachangia changamoto unazokutana nazo katika mahusiano.
Acha tu nijisifie maana siku 5 nyumba ilikuwa chungu hadi hela nilikuwa nasusiwa. Ni kilio tu kila nikiingia. Ile namba sijui alikuja kuifuta lini ila namba zote za jina linalofanana na la yule zimefutwa zote 🤣Unajisifia kabisa
Kutofurahishwa au mashakaHiyo emoj ina maana gani?
Age means nothing it's just a numberAu sio nisije kuwa nachst na gen z hapa 🤣🤣
Halagu mie mshangazi wa millenia
Ulimuacha huyo mchepuko?Acha tu nijisifie maana siku 5 nyumba ilikuwa chungu hadi hela nilikuwa nasusiwa. Ni kilio tu kila nikiingia. Ile namba sijui alikuja kuifuta lini ila namba zote za jina linalofanana na la yule zimefutwa zote 🤣
Kwani ndo mshajiamulia mambo mashemejiKanusha na hapa anaona
Niombee sala njema mtu wangu.Shukrani sana.Mkeo kapata mume
Mgunduzi upo sahihi sana. Ukiwa real utapata vingi kama sio vyote. Mwanaume haoni shida kwenye hilo hasa akiwa anakuelewaNimegundua
Ukishakuwa real Kwa mwanaume, na akaprove,
Yeye mwenyewe tu atakupa hela bila hata kuomba,
Atakununulia vitu bila wewe kuoomba.
Kanusha hili sio kanushoKwani ndo mshajiamulia mambo mashemeji
NimeonaNimeku request umeona ?
Pole, uzuri ni kuwa mwishoni mtu anatulia tu maana vinachosha. Unapoteza nguvu, rasilimali na muda kwa mtu ambaye hamna kesho ya pamoja.Kutofurahishwa au mashaka
Christine_1 moyo wa Red black ni meli na nafsi yako ni bandari, Acha mwamba awake ⚓ hapo bandarini. ♥️Age means it's just a number
Hata ungekuwa nyanya mim nshatia nanga😁
Hahaha😁😁 Verse versa is true
Umetisha budaaChristine_1 moyo wa Red black ni meli na nafsi yako ni bandari, Acha mwamba awake ⚓ hapo bandarini. ♥️