Mwanamke Ang'ata Uume wa Mumewe na Kubaki Kipisi

Mwanamke Ang'ata Uume wa Mumewe na Kubaki Kipisi

watu wakichepuka mnalalamika sana kwan ukitoa utapungukiwa nin? dawa ni kulala kimya na yeye akiwa na hamu unamwambia sijisikii
 
Kipisi cha sigara = Kishungi

Anyway hii naona ni taaluma mpya kama siyo kipaji, ana meno makali kiasi gani huyo mama!!!? nyama mbichi tu kuikata kwa meno ni shida, sembuse mshipa!!! hii ni kifungua mwaka

Kumbe ule ni mshipa!!! mbona ikicnyaa ni nyama 2pu!!
 
Hivi Tarime kumelaaniwa, mbona matukio ya ajabu ajabu huwa hayaishi?
 
mariital rape. mwanamke alikuwa anajilinda asibakwe, sioni kesi hapo.
 
Aisee!!
Yataka moyo kwakweli kwahiyo mwenzake hatofanya abadani!!
 
mhhh huko Rolya ni hatariiii!!!hawa watu asili yao wapi jamani mbona ni wakatili hivi?
 
Haya kazi kwao wanaopenda kutoa mic kuwapa wenzao wahutubie,
kumbe umezuka mtindo wa kun'gata mic na kumaliza mkutano hapohapo.
Hii nayo kali, lakini mic ina ladha yake vile!!
 
Hata bobito yalimkuta lkn yeye ni kisu na alifanikiwa kufanyiwa operation na kuirudisha kama mwanzo sasa huyu jamaa maskini pole yake
 
huyu mwanamke hafai kabisaa, tena naomba mamlaka husika zimchukulie hatua kali ili iew fundisho kwa wengine wenye tabia hii. sasa unaona kamsababishia mwenzake kilema, jamaa HATAGONGA milele huyo
 
Abdallah chongo is no more!! Mama Mwita kajichukulia sheria mdomoni.

Habari za 'rara fizuri nikurenge' ndo zimeishia hapo.
 
Duh, kwa nini asingesubiri usiku?? Mapenzi yanafanyika kwa makubaliano bana hata kama ni wanandoa...!!

Sikulaumu ni wazo lako lakini elewa ya kwamba wanandoa hawana sababu ya kusubiri ucku kwani hawaibi hawa, ndiyo maana jamaa alioa ili awe huru kwa muda anaohitaji apate huduma. Kilichotakiwa, yule mama alipaswa kumwelewa tu mwenzake na siyo kumfanyia ukatili wa namna ile. Alitaka mumewe aende kwa machangudoa??? Makubaliano sawa lakini ulitaka aanze kutongoza upya???
 
Back
Top Bottom