Mwanamke Ang'ata Uume wa Mumewe na Kubaki Kipisi

Mwanamke Ang'ata Uume wa Mumewe na Kubaki Kipisi

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,510
Mwanamke mmoja mkoa wa kipolisi Rolya amemng'ata mmewe uume wake baada ya mme huyu kutaka kuimarisha ndoa saa 9.00 alasiri. Mwanamke alikuwa anakataa anasema ni mapema mno kufanya tendo la ndoa atulize munkari, lakini mmewe hakusikia wala alikuwa haambiliki maana usongo ulikuwa umemzidi.

Mama huyo akaona isiwe haja ngoja autulize munkari akaung'ata mgegedo na meno mmewe ikabidi apige yowe kuomba msaada baada ya kupata maumivu makali na kukimbizwa hospitali, Madaktari walifanikiwa kuisize mgegedo na sasa imebaki kama kipisi cha sigara amekuwa mlemavu wa mgegedo, atautumia kutolea maji taka ya kimimika tu na si kwa kungonoka.

Mwanamke huyo anashikiliwa na polisi mkoa wa kipolisi huko Rolya.

Nawakilisha.

Somo la usawa wa kijinsia umewaingia sasa akina mama, na kuamua kujichukulia sheria mkononi.

Source: Wapo FM
 
Duh, kwa nini asingesubiri usiku?? Mapenzi yanafanyika kwa makubaliano bana hata kama ni wanandoa...!!
 
Haki ya ndoa, haki sawa viko wapi hapo? Huo ni unyanyasaji wa kijunsia na mwanamke afungwe huyo.
 
Huyo mwanamke alikua na mengine tu rohoni. Lingekua hilo tu acngeweza kumng'ata mumewe 7bu hakufungwa kamba hapo kitandani...
 
daa asee angempa tu papuchi ,,,,,tena unakuta mwanaume ni mwaminifu maskini.......ndo hapoooo nyumba ndogo zinakumbukwa maaana zile muda wowote unapata na mahaba kwa sana,,,haina ratiba sana.
 
Hahaha!!!

Mwanamke akaona isiwe tabu akamng'atilia mbali asumani jicho moja
 
Tatizo sie wanawake hua tunabaki visasi moyon hakuba kusema,mwishowe ni kung'atwa kama huyo,,lakin yahitaji ujasiri kuuma mpaka itokepo mmhhhhh!!!
 
wanawake wa mara wana mambo ya ajabu sana, kunauwezekano wanavuta bangi
 
Tatizo sie wanawake hua tunabaki visasi moyon hakuba kusema,mwishowe ni kung'atwa kama huyo,,lakin yahitaji ujasiri kuuma mpaka itokepo mmhhhhh!!!

Huyu aliye leta kauli ya usawa wa kijinsia majanga yake ndo haya
 
jamani..

so sad. .. ingawa hatujui ni namna gani huyo bwana alikuwa akilazimisha suala hilo, lakini bado adhabu aliyopewa ni kubwa mno.
 
Tatizo sie wanawake hua tunabaki visasi moyon hakuba kusema,mwishowe ni kung'atwa kama huyo,,lakin yahitaji ujasiri kuuma mpaka itokepo mmhhhhh!!!
Hapo umenena nadhani tatizo halikuwa hilo la siku moja lazima alikuwa navisasi vingine.
 
jamani..

so sad. .. ingawa hatujui ni namna gani huyo bwana alikuwa akilazimisha suala hilo, lakini bado adhabu aliyopewa ni kubwa mno.

Mmeo unampangia ale au asile? Ndo maana ukiolewa unapaswa kulala bila kyupi ikisimama we unamgeuza tu
 
daa asee angempa tu papuchi ,,,,,tena unakuta mwanaume ni mwaminifu maskini.......ndo hapoooo nyumba ndogo zinakumbukwa maaana zile muda wowote unapata na mahaba kwa sana,,,haina ratiba sana.
umesahahu kwamba pia nyingine zinakufanya usahau kama uliwahi kuoa au kuwa na watoto na hivyo kusababisha watoto wa mitaani.
 
Back
Top Bottom